Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,544
- 30,100
Kwahiyo huna million 10?Mshana me nilipendaga sana niwe na hii biashara ila wakanitisha kwamba mtaji wake na gharama za matunzo uwe na takriban million kumi na semea wale kama wa pale Mwenge au mbezi au mikocheni kule