Sio kweli ukiwa na million MOJA inatosha kabisa kuanziaMshana me nilipendaga sana niwe na hii biashara ila wakanitisha kwamba mtaji wake na gharama za matunzo uwe na takriban million kumi na semea wale kama wa pale Mwenge au mbezi au mikocheni kule
Mimea isiyohitaji maji mengi inavumilia ukameSnake Plant- Sansevieria Laurentii
Fav.. View attachment 2893661
Snake plant hakosekani 😍