CHE GUEVARA-II
JF-Expert Member
- Jun 17, 2010
- 571
- 157
Teh teh het tee eti garden watengenezee tu hapo kwako mjomba vinginevyo safiri mpaka nairobi hivyo vitu utavipata kwa tanzania bado kabisa.
Teh teh het tee eti garden watengenezee tu hapo kwako mjomba vinginevyo safiri mpaka nairobi hivyo vitu utavipata kwa tanzania bado kabisa.
sema anakotaka hakuna ila kama anamudu safari, basi Dar Live pangemfaa..Teh teh het tee eti garden watengenezee tu hapo kwako mjomba vinginevyo safiri mpaka nairobi hivyo vitu utavipata kwa tanzania bado kabisa.
Teh teh het tee eti garden watengenezee tu hapo kwako mjomba vinginevyo safiri mpaka nairobi hivyo vitu utavipata kwa tanzania bado kabisa.
Tanzania hamna kitu kama hicho! sanasana watu wamewatengenezea majumbani mwao watoto wao!
mkeo utaniuzia au huniuzii ?
sema anakotaka hakuna ila kama anamudu safari, basi Dar Live pangemfaa..
@CHE GUEVARA-II
kwanini usiende Kwa Mzungu/Kiota? Kama unaenda Stakishari Polisi banana, garden swimming pool nzuri,namba zao sina bahati mbaya, bila shaka hutapotea.
Yaani Dar ni fun city na Zoo tu,wapeleke sadani wakaone na wanyama