Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,264
Leo hii hakika angekuwa mahali pema mjengoni pamoja na sugu-wakiweka uwiano wa kijinsia dhidi ya uwakilishi wa wasanii na vijana.
we bakteria bana. Kila binadam anasumbukia maslahi. Hata alipoenda chamani ilikuwa ni maslahi anafuata huko. Au uongo?Kwa hiyo sababu ya msingi ya yeye kuwa na magandwa/ magwanda ni ili APEWE ubunge?
yani nyie magamba mlimnyakua leo hii hamumjui! Loh!Nakaaya Sumari ni nani?
Dogo nani magamba? Huyo Nakaya mimi simjui kabisa ana kampuni gani?yani nyie magamba mlimnyakua leo hii hamumjui! Loh!
mh! Hii mupya. Kwa hiyo anatibu majeraha ya kampeni kwa unga?Anaitwa Nakaaya a.k.a MAWENGE yupo arusha bana,alaf cku izi ni teja wa madawa ya kulevya,juz kati apa kwa wa2 wanaojua mbauda alpata bonge la ajal,alkuwa upo unga laana kasi vbaya akaltukza gar mtaroni,maunga yake 2nayo mpaka leo kwaiyo kama ameshatoka hosp aje achukue.
Nakumbuka siku hiyo anarudisha kadi ya cdm nilikuwa arusha, kipindi jk anamnadi Batilda Buriani...huyu binti alipewa cha juu..akaikana cdm, bora amejipambanua mapema mana angekuwa shushu kama wengine wanavyotusaliti sasa hivi..Kwa kweli huyu dada alizicheza vibaya karata zake.........hata katika anga za muziki hasikiki!!
apotee mara ngapi?kumbe wimbo wake unapigwa badoo..keep it up nakaaya.remember AMINA FOR LIFE....fuata nyayo kama ulivoamua kuvua cadet zile,UNGEPOTEA MWANMKE MWENZANGU..usikate tamaa karibu mjengoniii 2015
kumbe wimbo wake unapigwa badoo..keep it up nakaaya.remember AMINA FOR LIFE....fuata nyayo kama ulivoamua kuvua cadet zile,UNGEPOTEA MWANMKE MWENZANGU..usikate tamaa karibu mjengoniii 2015
Dogo nani magamba? Huyo Nakaya mimi simjui kabisa ana kampuni gani?
Niko kwenye gari naelekea mzigoni. Hewani nasikia kibao chake cha mr politician. Namkumbuka na kumuonea huruma. Hii ni mara ya pili analamba joka na mtu ana kaunti. Mara ya kwanza ni aliposain mkataba feki na sony. Mara ya pili ni pale alipovua gwanda na kuvaa kitenge. Leo hii hakika angekuwa mahali pema mjengoni pamoja na sugu-wakiweka uwiano wa kijinsia dhidi ya uwakilishi wa wasanii na vijana. Anajuuta sasa. Nakaaya uko wapi dada? Ulianza vyema. Jipange tena, dada