Wadau,kuna mtu anamfahamu fundi yoyote mzuri wa kuweza kutengeneza Bajaj aina ya TVS mana nna Bajaj ambayo nlinunua kwa mtu na kila siku ni majanga,mana mara leo Brek,kesho plug na kesho kutwa inakunywa mafuta meng,nahitaji msaada.

Pole sana mkuu, ndio shida ya kununua used. Ikarabati uiuze ndio suluhisho pekee, usidhani itakuja kutengemaa kama mpya, jiulize kwanini jamaa alikuuzia!
kama upo dar,nenda barabara ya nyerere,kuna kituo kinaitwa ngozi,kuna uchumi supermarket ulizia mtu yeyote ilipo gereji ya TVS,atakuonyesha,ndio agent wa tvs kwa hapa tz,na kuna mafundi wazuri na spare zao zote ni genuine.