Gar Ya asubuhi Dar-moro inaowahi kufika

Gar Ya asubuhi Dar-moro inaowahi kufika

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,719
Reaction score
4,304
Wakuu habar zenu narud kwenu kuulizia gari ya kampuni Gani inayofanya safar za dar-moro inayoondoka saa kumi na mbili asubuh na inawahi kufika Morogoro saa tatu..au hata gari inayoishia Dom ila Morogoro inawahi kufika
 
Panda treni ya SGR
 
Mi nataka gari ya kutoka sumbawanga kwenda Dodoma zipo wakuu??
 
Nende Mbezi Magufuli Muda huu upande gari inayotoka inayopita Moro Maana gari zinatembea saa24 siku hizi.
 
Nataka inayofika saa tatu..hizi za magazeti sku hizi hamna alafu hizo Israel anakua karibu
Uongo mkubwa.
Kwa miezi sita toka mwaka uanze hakuna taarifa yoyote ya ajali ya gari za magazeti.
 
Panda ya za saa tano usiku utafika saa 9 usiku. Ya saa 12 utafika NNE unusu au tano
 
Wakuu habar zenu narud kwenu kuulizia gari ya kampuni Gani inayofanya safar za dar-moro inayoondoka saa kumi na mbili asubuh na inawahi kufika Morogoro saa tatu..au hata gari inayoishia Dom ila Morogoro inawahi kufika
Nenda magufuli stendi panda basi zinazoenda mkoa kama mwanza,kigoma,tabora au mbeya.
Sasa una uchaguzi kuna gari zinaanza saa 9,10,11 na 12 uchaguzi ni wako .
Angalizo usipande basi linaloishia moro utalia 😂😂😂
 
Wakuu habar zenu narud kwenu kuulizia gari ya kampuni Gani inayofanya safar za dar-moro inayoondoka saa kumi na mbili asubuh na inawahi kufika Morogoro saa tatu..au hata gari inayoishia Dom ila Morogoro inawahi kufika
Ukipanda gari za mbeya moro saa 2 tu
 
Back
Top Bottom