Gamondi: Sijawaona Aziz Ki na Diarra kambini mpaka sasa

Ndiyo maana timu ilitakiwa kuwasilisha CAF Majina ya wachezaji 30

Hivyo sioni kama ni excuse ya maana wakati huu

Wanasema Maji ukiyavulia nguo sharti uyaoge
Nani amekuomba excuse?. Hebu tuonyeshe. Mikia mna matatizo makubwa. Saa chache mna mechi ngumu. Lakini cha ajabu wote mmehamia YANGA. Toka droo hii ipite mmeachana na timu yenu kabisa,kutwa ni YANGA tu.
 
Tusapotiane Mtani

Leo hamia kushangilia Simba then kesho zamu yetu kushangilia Yanga 🤗
 
Kuna update yoyote, au tuchukulie kama ni sababu ya kufungwa nyingi kesho.
 
Naomba kukutambua wewe ni Jemedari Said? Voiceless of the voicer
 
Ile kutangaza tangaza kuwa wachezaji tegemezi wakiwemo Aziz Ki,pacome na Diarra hawajafika na hajawaona inashusha hamasa kwa mashabiki .aache uoga .hata kama ni gama plan
 
Gamondi ameshasoma mchezo, huenda Yanga ikapigwa tatu kavu, sasa kaona mapema aandae matanga, wachawi wajulikane.

Kumbuka tu, liwe jua au mvua Yanga atapigwa kama ngoma, atafungwa mpaka akili zimtoke.
 
Jana hatukuwa na Bahati Mkuu hivyo kupoteza mechi yetu

Ila Leo nitakuwa Yanga kushabikia

Nisingependa na Yanga pia ipoteze mechi kama ilivyotokea Kwa sisi Simba Jana
Kwa kweli kwa mpira ule wa jana nowapongeze sana. Mpira mmeupiga mwingi sana. Umalizia tu na bahati. Hongereni sana,japo mmefungwa. Mkienda kucheza hivyo kule mnaweza kubadiri matokeo
 
Kwa kweli kwa mpira ule wa jana nowapongeze sana. Mpira mmeupiga mwingi sana. Umalizia tu na bahati. Hongereni sana,japo mmefungwa. Mkienda kucheza hivyo kule mnaweza kubadiri matokeo
Binafsi nahisi Uongozi ulikosea kumwachia Mosses Phiri bila kupata mmbadala wake.

Forward yetu pale mbele ni Butu sana

Angekuwa Phiri ile mechi tungeshinda hata bao mbili
 
Binafsi nahisi Uongozi ulikosea kumwachia Mosses Phiri bila kupata mmbadala wake.

Forward yetu pale mbele ni Butu sana

Angekuwa Phiri ile mechi tungeshinda hata bao mbili
Mimi nafikiri ni bora mmefungwa 1. Maana yake ni kwamba mkienda kule mtaajiachia kabisa,liwalo na liwe bora mufungwe hata bao lingine lakini muhimu nyie mkafunguke kuwakimbiza mwanzo mwisho. Ksbb hamna cha kupoteza. Kibao kinaweza kubadirika
 
Timu yetu tunaijua Mkuu, tukisema tucheze Kwa kufunguka bila kujihami tunaweza kula nyingi 🙌

All in all, kikosi chetu kinahitaji maboresho hasa sehemu ya ushambuliaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…