Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,702
anataka zuma deluxe, ningekuwa karibu na pc yangu ningemu uploadia
game la draft visit thread hii limeelezewa vizuri
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...pata-web-gan-nipe-link-kama-unaijua-help.html
zuma naona hamna link ya maana ngoja nitaku uploadia soon
napenda sana game la zuma
Habari JF
Nilikua natafuta games like Draft na Zuma Deluxe ni wapi naweza kuzi download and when am free niweze ku refresh my mind. Kama kuna yeyote anaweza kunipatia links za kuzidownload itakua poa sana.
Thanks in advance.
vp bro naona kimya sana....lkn its lyk unapenda kuisaidiwa lkn utaki kusaidia