Humu hf mijitu mingi mizee haina interest na games.... Sijawahi kucheza hiyo franchise, ni nzuri eeh??
Mkuu kama hujacheza hii ni kama seeies anza kwanza na far cry 1Humu hf mijitu mingi mizee haina interest na games.... Sijawahi kucheza hiyo franchise, ni nzuri eeh??
Mkuu unamaana core i7 ziko tofauti. Hebu naomba nieleweshe hapa kaka. Piagames za siku hizi nyingi zinatengenezwa kwa ajili ya console (ps4 na xbone) na hizi console core ya kwanza na ya pili hazitumiki kwa ajili ya games kuanzia core ya pili hadi 6 ndio zinatumika.
hivyo ikija kwenye pc kama una dual core ikiskip core 2 tayari game halitawaka.
hapo solution ni kutafuta patch ya dual core yapo magame mengi tu yana tabia hio na yanachezeka fresh.
na hio gpu ya quadro sio ya games na hujasema i7 yako ni ipi
Chief Mkwawa nieleweshe kaka hapa kama kuna chochote kinawezekana tujuzane.Mkuu unamaana core i7 ziko tofauti. Hebu naomba nieleweshe hapa kaka. Pia
Mkuu unamaana core i7 ziko tofauti. Hebu naomba nieleweshe hapa kaka. Pia
Mkuu nedownload need for speed the run imegoma kucheza inaleta black screen pc yang ni Hp core i7 intel HD graphics inahitaji direct x 10 ninayo ila bado unazingua ttzo ni nini??games za siku hizi nyingi zinatengenezwa kwa ajili ya console (ps4 na xbone) na hizi console core ya kwanza na ya pili hazitumiki kwa ajili ya games kuanzia core ya pili hadi 6 ndio zinatumika.
hivyo ikija kwenye pc kama una dual core ikiskip core 2 tayari game halitawaka.
hapo solution ni kutafuta patch ya dual core yapo magame mengi tu yana tabia hio na yanachezeka fresh.
na hio gpu ya quadro sio ya games na hujasema i7 yako ni ipi
una latest driver za gpu yako? hakuna error yoyote inayotokea?Mkuu nedownload need for speed the run imegoma kucheza inaleta black screen pc yang ni Hp core i7 intel HD graphics inahitaji direct x 10 ninayo ila bado unazingua ttzo ni nini??
Inatokea inasema u need direct x 11dr
una latest driver za gpu yako? hakuna error yoyote inayotokea?
eka hio direct x11 pia zingatia suala la 32bit na 64bit au vyema tumia online installer ili ieke version nzuri kwako.Inatokea inasema u need direct x 11
Nimepiga window 10 ila direct x 12 imegoma na ila nikirun CPU checker inanionyeshe u have window 10 enteprise x64 and 12 direct x ila nikiandi dxdiag pale kwenye direct x inaandika 10dr
una latest driver za gpu yako? hakuna error yoyote inayotokea?
Imekubali mkuu asanteangalia pia folder la setup ya hilo game sometime wanaeka setup ya direct x humo
imecheza mkuuWakuu habari zenu..
Ubisoft mwishoni wa mwez huu wa pili wametoa game ya Far cry primal ni game moja nzuri sana ya Action ingia youtube uione..
Game ina ukubwa kama wa 11Gb mi ndo imebaki gb2 nimalize kuipakua ila game hii inaonekana inahitaji pc iliyo simama vizuri ktk video card ukiangalia specs
Inahitaji PC System Analysis for Far Cry: Primal
The requirements for FC Primal are around the
same seen in Far Cry 4. The graphics engine
used is Dunia Engine 2, which has been around
since Far Cry 3. Playing the Far Cry series
always benefits from top graphics as you explore
the landscape, and so warrants getting PC
hardware that matches Far Cry Primal's
recommended system requirements. An Intel
Core I7 2600K matched with a GTX 780 GPU or
better and at least 8 Gigs of system memory to
help reach reasonable FC Primal FPS on High
graphics setting.
Mimi naamini specs zake si tofaut na far cry 4 Hii game ilizingua kucheza kwenye pc yangu kwa kuwa
Matatizo haya..
1. Haichezi kwenye dual core
2.Inaleta black screen issues
PC YANGU NI HP ELITEBOOK
Ram 4 gb
Cpu Ni core i7
Video card ni Nvidia Qudro Nvs 5100
Nilishacheza far cry 3 vizuri sana HAkika Jason brody alifanyA kaz nzuri hadi kumuua Vaas..
Wakuu naombeni mnisaidie nitafanyeje ili kutatua hilo tatizo nimejaribu kutafuta patch nyingi lakini nimeshindwa.
Ila nikishamaliza kudownload far cry 5 nitaleta Mrejesho wakuu