Tafadhalini wanajamvi naomba msaada kwa anaye fahamu jinsi ya kudownload game ya need for speed ii, nina pc yenye WINDOW 7, au kama kuna mtu anayo naomba anipatie, asanteni

Mkuu mbona yazamani sana hii ma zipo ambazo zipo vizuri zaidi zinacheza kwenye windows 7
Au specifications za pc yako ndogo sana
Lakini kama umeweka windows 7 naamini NFS underground au NFS most wanted zita play bila shida