Game ya Chelsea 2 Barca 1 pre season was best match

Game ya Chelsea 2 Barca 1 pre season was best match

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
18,993
Reaction score
27,513
Nimeburudika Sana na hii game ilikuwa more fire bando langu alikuenda bure.Hiv ndio niliviona katika hii game

1.chelsea wamepata kocha
Moja Kati ya vitu ambavyo lampard amevileta Chelsea ni kupressing kwa haraka katika maeneo muhimu pamoja na Kasi ya kushambulia kuongezeka ukiangalia game hii ni tofauti na mpira wa sarri Chelsea ilikuwa inaposses maeneo ambayo hayana hatari ndo maana unaweza kukuta waposses asilimia kubwa alafu wanafungwa wao

2.kumbadilisha gojinho position
Ukiangalia hii game gojinho alitengeneza best partnership na kovacic walikuwa wote wanacheza km no 6 na no kwa pamoja mmoja akishuka chini mwingine anapanda wakiwa na mpira wanna press kwa haraka na kudominate kiasi walikuwa good with and without na mpira walimvuruga kwelkwel Sergio bosquet na kumtoa kwenye reli na hapa ndo paliamua mechi.

3.organized ya Chelsea ilikuwa nzuri
Chelsea ilicheza as team work with and without ball waliwafanya Barca wasiwe comfortable na mpira maana kila wakiwa na mpira kilikuwa na nyuma mchezaji wa Chelsea anayekaba.

4.griezman ni usajili mzuri
Japo ilikuwa mechi ya kwanza lakini aliweza kutengeneza good partnership na dembele pale mbele kiukwel alicheza vzr.

5.niwakati Barca kubadilisha aina ya uchezaji
Barca mpira wao ushajuliwa na timu nyingi nice wakati wakubadilika Ili wasio preditable so why wanaweza kudhibitiwa na Chelsea.
 
Aaaargh!
Mbona hujataja wafungaji wa magoli??
Acha kuleta taarifa nusunusu bwana
 
barca hawajaamini ili pigo ni mwendelezo wa vipgo kwa barca hakuna kujali sehem una kanyaga tu
 
Back
Top Bottom