Game kwa PC

download game la mpira kwanza zuri linalo endana na ukubwa na sifa za pc yango kisha ikitokea tatizo ndo uulize
 
download game la mpira kwanza zuri linalo endana na ukubwa na sifa za pc yango kisha ikitokea tatizo ndo uulize
Mkuu uko sahihi kabsa na je ni site ipi ambayo naweza kuitumia ili niweze ku-download?
 
Mkuu site gan ambayo naweza download game kwa urahisi.
 
bora nimeona profile yako hivi kwenye hizo site naweza pata game ya call of duty yenye gb ndogo au kama unajua zuri nishirikishe mkuu.
Ushatafuniwa inabidi ujiongeze kiongozi, ingia uko kuna search bar, games za gb tofauti tofauti zipo zote.
 
Sema magame yana size kubwa sana. Kama mtu ukipata unlimited network ni safi sana.
 
Daa ivi wakuu iyo pes 2018 ktk pc yangu ya acer aspire core i3 itacheza kweli ram 4 gb hdd 1 tb
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…