Tetesi: Gambo kupelekwa Havanna Cuba

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,707
Reaction score
21,867
Aliyekuwa mbunge wa Arusha mjini ndg Mrisho Gambo yuko katika hatua za mwishomwisho za kuteuliwa, kuapishwa na kupelekwa Havanna Cuba kuiwakilisha nchi katika uga wa kidiplomasia kama balozi.

Kila kitu kiko tayari, kinachosubiriwa ni taarifa rasmi ya Mawasiliano Ikulu muda wowote.

JF kuwa wa kwanza kupata habari
 
Bila kozi au semina fupi ya mambo ya diplomasia?
Bifu lake na Mchengerw.. na Paul limeisha?
 
Asisahau kupitia pale mwalimu Nyerere memorial kupata Ka short course
 
Kawaida yao wanakuchinja huku na wanaenda kukamulia ndimu mbele ya safari
 

Akikubali atakuwa mjinga ni bora afanye biashara zake Arusha. Huko Cuba ni njaa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…