Gambo Chupuchupu kunaswa na TAKUKURU Arusha, aokolewa na Gari la Polisi

Mambo yameanza kwenda Kombo kwa aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo baada ya kunusurika kukamatwa na Takukuru hapo Jana wakati akigawa fedha kwa wajumbe wa ccm nyumbani kwake .

Gambo amejikuta Matatani jana majira ya jioni baada ya kuwepo taarifa kwamba Takukuru wamezingira nyumba ya serikali anayoishi iliyopo eneo la Mahakama na yeye kulazimika kuomba msaada wa gari la polisi na kufanikiwa kutoroshwa.

Ili kuwa hivi...Gambo amekuwa akishiriki mchezo mchafu wa kuwarubuni wajumbe waliopo kwenye kata mbalimbali jijini Arusha ambao kimsingi ndio wapiga kura za maoni ya ubunge ndani ya ccm.

Wajumbe hao wamekuwa wakiratibiwa na mwenyekiti wa ccm wilaya Joseph Masawe na kusomwa kwa kutumia gari la Shule ya Green Valley inayomilikiwa na Yahaya Njarita ambaye ndiye rafiki yake mkubwa

Gari la Njarita lenye namba T 576 BED lilinaswa likiwa na wajumbe waoatao 30 wa ccm kutoka kata mbalimbali ikiwemo Elerai na Moshono wakiwa nyumbani kwa Gambo walipopelekwa kwa ajili ya kufanya kikao chenye mlengo wa kumbeba mgombea huyo kinyume na taratibu za chama hicho.

Baada ya vijana wa Takukuru kutia timu nyumbani kwa Gambo wajumbe hao walipata taarifa kuwa wajuba wapo nje ndipo kila MTU alipoanza kutimka kivyake na baadaye gari hilo lilikamatwa na Takukuru huku Gambo akijifungia ndani na kuomba msaada wa polisi ambao baadaye polisi walifika na kufanikiwa kumwokoa na gari la polisi la RPC kuondoka kwa speed kubwa.

Takukuru Arusha wamekosa meno sababu ya kujiingiza kwenye siasa za Gambo wangekuwa makini hivi sasa Gambo angekuwa kizuizini lakini wamekamata gari na wajumbe wamewaachia.

Gambo anayedaiwa kubebwa zaidi na polisi anaitumia nyumba ya serikali ambayo ndio makazi yake kama maficho ya maovu na madhambi yake kwasasa kabla hajaibidhi kwa sababu inaulinzi wa polisi na imekuwa ngumu kwa Takukuru kitimiza wajibu wao.

Zoezi la kugawa fedha kwa wajumbe hao linaratibiwa na vigogo wa ccm ,Joseph Masawe mwenyekiti wa ccm wilaya na Zeloth Steven Mwenyekiti wa ccm Mkoa na inadaiwa gambo amejipanga kisawasawa kifedha kwa kuwacharaza noti wajumbe,hivyo Takukuru inapaswa kuzinduka zusingizini na kujipanga kisawasawa kuchungunza fedha hizo amezipata wapi.
Raisi keshawaambie hapendi Majungu ya Watu wa Arusha.... yaani ni too much... Viongozi walioteuliwa washataarifiwa kuhusu nyie majitu mambea... na Mtanyooshwa tu yaani chuki kama zote.
 
Swali chokonozi, je Gambo akiamua kuhamia upinzani na akagombea hapo hapo Arusha itakuwaje??? Nadhani awe na uvumilivu, aache tamaa, alichosema rais leo ni muhimu sana kwa mustakabali wa taifa, si kila mtu awe mbunge au waziri, na taifa hili linamtegemea kila mtu ili liendelee.
 
Na leo magufuli amesema usidhani nikikufuta kwenye uteuzi ukaenda kugombea nitakuteua uwaziri,kama nilikuwa na nia ya kukuteua ningeshakuteua,kwanza hujui kama utapita kwenye hiyo kura za wajumbe na hata ukipita naweza nikakufuta pia
Dogo angejikita kwenye biashara tu, ushawishi wa kisiasa umeshapotea kama Magesa Mulongo.
 
Kama nia ni kumtoa Lema basi jua Gambo ana baraka zote.
Tumia akili wewe, suala la Gambo linafanana na lile la Magesa Mulongo. Magesa Mulongo baada ya tukio lile alipata baraka gani? Usitumie makalio kujenga hoja uchwara.
 
Hahah mpk CDF alichanwa halafu wakawa wanacheka mpk wanatikisa mabega kwa furaha huku mioyoni kwao wakijua hawajafurahi wala nini.
Vile vicheko vyao vya kinafiki, huwaga naonaga aibu mimi asee

Vile mtu mzima anatingishika mabega kwa kicheko, unakuta hata havichekeshi
 
Nikweli CCM mwaka huu inazoa kura kila jimbo!
Maana kelele zte humu jf ni ccm

Wazee wafaru john ndio walikuwa wakiteka media zamani.
Lkn saivi ccm ccm ! Arusha naona inarudi.
 
Mambo yameanza kwenda Kombo kwa aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo baada ya kunusurika kukamatwa na Takukuru hapo Jana wakati akigawa fedha kwa wajumbe wa ccm nyumbani kwake .

Gambo amejikuta Matatani jana majira ya jioni baada ya kuwepo taarifa kwamba Takukuru wamezingira nyumba ya serikali anayoishi iliyopo eneo la Mahakama na yeye kulazimika kuomba msaada wa gari la polisi na kufanikiwa kutoroshwa.

Ili kuwa hivi...Gambo amekuwa akishiriki mchezo mchafu wa kuwarubuni wajumbe waliopo kwenye kata mbalimbali jijini Arusha ambao kimsingi ndio wapiga kura za maoni ya ubunge ndani ya ccm.

Wajumbe hao wamekuwa wakiratibiwa na mwenyekiti wa ccm wilaya Joseph Masawe na kusomwa kwa kutumia gari la Shule ya Green Valley inayomilikiwa na Yahaya Njarita ambaye ndiye rafiki yake mkubwa

Gari la Njarita lenye namba T 576 BED lilinaswa likiwa na wajumbe waoatao 30 wa ccm kutoka kata mbalimbali ikiwemo Elerai na Moshono wakiwa nyumbani kwa Gambo walipopelekwa kwa ajili ya kufanya kikao chenye mlengo wa kumbeba mgombea huyo kinyume na taratibu za chama hicho.

Baada ya vijana wa Takukuru kutia timu nyumbani kwa Gambo wajumbe hao walipata taarifa kuwa wajuba wapo nje ndipo kila MTU alipoanza kutimka kivyake na baadaye gari hilo lilikamatwa na Takukuru huku Gambo akijifungia ndani na kuomba msaada wa polisi ambao baadaye polisi walifika na kufanikiwa kumwokoa na gari la polisi la RPC kuondoka kwa speed kubwa.

Takukuru Arusha wamekosa meno sababu ya kujiingiza kwenye siasa za Gambo wangekuwa makini hivi sasa Gambo angekuwa kizuizini lakini wamekamata gari na wajumbe wamewaachia.

Gambo anayedaiwa kubebwa zaidi na polisi anaitumia nyumba ya serikali ambayo ndio makazi yake kama maficho ya maovu na madhambi yake kwasasa kabla hajaibidhi kwa sababu inaulinzi wa polisi na imekuwa ngumu kwa Takukuru kitimiza wajibu wao.

Zoezi la kugawa fedha kwa wajumbe hao linaratibiwa na vigogo wa ccm ,Joseph Masawe mwenyekiti wa ccm wilaya na Zeloth Steven Mwenyekiti wa ccm Mkoa na inadaiwa gambo amejipanga kisawasawa kifedha kwa kuwacharaza noti wajumbe,hivyo Takukuru inapaswa kuzinduka zusingizini na kujipanga kisawasawa kuchungunza fedha hizo amezipata wapi.
Ashapotea kwenye ramani atahonga wajumbe huko halafu mzee yupo pale juu akitokea tu mzee anapiga chini ili aendelee kugombana vzr uraiani
 
AU ndio maana raisi kasema ilikuwa awatimue RPC na mkuu waTAKUKURU Arusha maana kuna kitu anajua.Gambo hawezi tena kuwa mbunge kwa kauli ya mkuu leo ndio imetoka hiyo.Maana kamkaanga kinoma na itakuwa anajua mambo mengi yanayoendelea Arusha.
Usimwamini Sana JPM diwani athumani Msuya kunawakati alitumbuliwa ila leo hii ndio bosi wa tiss so inaweza kuwa mipango tu ambayo zimwi likujualo....
 
.
IMG-20200622-WA0004.jpg
 
Na leo magufuli amesema usidhani nikikufuta kwenye uteuzi ukaenda kugombea nitakuteua uwaziri,kama nilikuwa na nia ya kukuteua ningeshakuteua,kwanza hujui kama utapita kwenye hiyo kura za wajumbe na hata ukipita naweza nikakufuta pia
Inategemea nimeamkaje!
 
Muda Huo wa Jioni Unaotuambia Nilikuwa Nae Club D,Sasa Sijui Hi Story Uneitungia Ukiwa Chooni Au Bafuni?

Shame;
 
Back
Top Bottom