Jembe Jembe
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 757
- 1,822
Mkuu wa Mkoa wa Arusha ,Mrisho Gambo ameonyesha udhaifu wake wazi mbele ya wananchi wa Kata ya Muriet wakati akizindua kituo cha afya pale alipowaambia wananchi kuwa Wamwonee huruma ili wamchague awe mbunge wa jimbo LA Arusha kutokana na kazi alizofanya .
Pia aliwataka wananchi wamchague Diwani wa ccm katika kata hiyo inayokabiliwa na uchaguzi mdogo wa marudio baada ya aliyekuwa Diwani wa Kata hiyo kutoka chadema kujiengua.
Alisema iwapo wananchi hawata mchagua Diwani wa ccm hata pita tena mchana katika Kata hiyo na wala hatafanya mikutano ya maendeleo katika Kata hiyo