Gambia na Iran wasitisha uhusiano wa kidiplomasia!


Nimekupa mfano wa Bout ili uje hata kama silaha zilitoka Russia, lakini Russia haihusiki na hizo silaha. Na Seriakali ya Iran imekanusha kwamba hizo silaha walizituma wao.
Lazima ujue kwamba kuna smuggling, hata kama meli ilitoka Iran bado wapo wajanja ambao wanaweza kuingiza hizo bila ya Serikali ya Iran kujua. Ni sawasawa na muuza unga aliyetoka TZ kwenda Ulaya, akikamatwa utasema ni Serikali ya TZ?
 
Kwa hiyo hata meli yenyewe hawaijui au smuggling unataka kusema ilifanyika baharini! Halafu naomba nipe source mahali ambapo Iran imekanusha kuwa meli hiyo haikutokea Iran.
 
Kwa hiyo mizigo inayotoka ndani ya Iran haikaguliwi? Ukisoma hiyo post ya kwanza utaona kuwa Iran hairuhusiwi kufanya biashara ya silaha kwa sababu ya vikwazo vya baraza la usalama la umoja wa maitaifa.
Iran is under UN sanctions because of its nuclear programme and is banned from supplying, selling or transferring arms.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…