Gambia na Iran wasitisha uhusiano wa kidiplomasia!

J

John10

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2009
Messages
357
Likes
0
Points
0
J

John10

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2009
357 0 0
Umesahau mzozo ulikotokea.
Kumbuka usafiri wa meli sio kama basi ambapo unaweza usijue kuwa njiani basi lilipakia nini, na Nigeria ilipokamata shehena hizo Iran haikukanusha kuwa meli haikutokea Iran, Na meli inaboard mzigo kwa utaratibu maalum. ingekuwa hamna utaratibu wafanyabiashara wangeibiwa sana mizigo yao. kwahiyo data zote za kuboard ziko kule ilikotokea na zinaonyesha mzigo unakoelekea kwa hiyo iran ilikuwa haina ujanja wa kukataa kwa sababu ni mamlaka zake hizohizo ndo zilizotuma taarifa ya meli iliyobeba mzigo fulani itapitia Nigeria kuelekea Gambia, walichokuwa wanafanya wanigeria ni kujaribu kuhakikisha tu kama kweli humo kuna vifaa vya ujenzi au la na sio kila mara wakaguzi wanaweza kukagua kwa ufasaha kama walivyofanya inawezekana wakati mwingine zimekuwa zikipita bila kustukiwa.

Kwa hiyo kuhusu evidence ondoa kabisa, ndo maana hata iran haijakanusha kuwa silaha hazijatoka kwake bali imeituhumu marekani kwa kuilazimisha Gambia kuvunja uhusiano na iran lakini imesahau kuwa marekani kama inaweza kufanya hivyo kisiri kwa Gambia basi inaweza kufanya hivyo kwa nchi zote za kiafrika sasa sijui kwanini haifanyi hivyo?
Nimekupa mfano wa Bout ili uje hata kama silaha zilitoka Russia, lakini Russia haihusiki na hizo silaha. Na Seriakali ya Iran imekanusha kwamba hizo silaha walizituma wao.
Lazima ujue kwamba kuna smuggling, hata kama meli ilitoka Iran bado wapo wajanja ambao wanaweza kuingiza hizo bila ya Serikali ya Iran kujua. Ni sawasawa na muuza unga aliyetoka TZ kwenda Ulaya, akikamatwa utasema ni Serikali ya TZ?
 
Kibona

Kibona

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2010
Messages
1,021
Likes
13
Points
135
Kibona

Kibona

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2010
1,021 13 135
Nimekupa mfano wa Bout ili uje hata kama silaha zilitoka Russia, lakini Russia haihusiki na hizo silaha. Na Seriakali ya Iran imekanusha kwamba hizo silaha walizituma wao.
Lazima ujue kwamba kuna smuggling, hata kama meli ilitoka Iran bado wapo wajanja ambao wanaweza kuingiza hizo bila ya Serikali ya Iran kujua. Ni sawasawa na muuza unga aliyetoka TZ kwenda Ulaya, akikamatwa utasema ni Serikali ya TZ?
Kwa hiyo hata meli yenyewe hawaijui au smuggling unataka kusema ilifanyika baharini! Halafu naomba nipe source mahali ambapo Iran imekanusha kuwa meli hiyo haikutokea Iran.
 
Eqlypz

Eqlypz

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2009
Messages
4,069
Likes
48
Points
0
Eqlypz

Eqlypz

JF-Expert Member
Joined May 24, 2009
4,069 48 0
Nimekupa mfano wa Bout ili uje hata kama silaha zilitoka Russia, lakini Russia haihusiki na hizo silaha. Na Seriakali ya Iran imekanusha kwamba hizo silaha walizituma wao.
Lazima ujue kwamba kuna smuggling, hata kama meli ilitoka Iran bado wapo wajanja ambao wanaweza kuingiza hizo bila ya Serikali ya Iran kujua. Ni sawasawa na muuza unga aliyetoka TZ kwenda Ulaya, akikamatwa utasema ni Serikali ya TZ?
Kwa hiyo mizigo inayotoka ndani ya Iran haikaguliwi? Ukisoma hiyo post ya kwanza utaona kuwa Iran hairuhusiwi kufanya biashara ya silaha kwa sababu ya vikwazo vya baraza la usalama la umoja wa maitaifa.
Iran is under UN sanctions because of its nuclear programme and is banned from supplying, selling or transferring arms.
 
Forum statistics

Threads 1,237,789
Members 475,675
Posts 29,301,351