Gambia na Iran wasitisha uhusiano wa kidiplomasia! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gambia na Iran wasitisha uhusiano wa kidiplomasia!

Discussion in 'International Forum' started by Ab-Titchaz, Nov 23, 2010.

 1. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #1
  Nov 23, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Gambia cut ties with Iran and order diplomats to leave

  [​IMG]

  The Gambian and Iranian presidents have enjoyed close ties in recent years

  The Gambia has said it is cutting all ties with Iran and ordered all Iranian government representatives to leave within 48 hours.

  The two countries, both of which have faced criticism over their human rights records, have had fairly close ties.

  Officials from the small West African nation gave no reason for the move.

  But last month Nigeria said it had intercepted an illegal arms shipment in Lagos from Iran, apparently destined for The Gambia.

  The Nigerian authorities discovered the weapons, including rocket launchers and grenades, in containers labelled as building materials.

  The France-based shipping company CMA CGM which transported the shipment said it was hidden in containers and attempts were made to send it to The Gambia before the Nigerian police seized it.

  Nigeria has reported the seizure to the UN Security Council.

  Iran is under UN sanctions because of its nuclear programme and is banned from supplying, selling or transferring arms.

  "All government of The Gambia projects and programmes, which were [being] implemented in co-operation with the government of the Islamic Republic of Iran, have been cancelled," the Gambian foreign ministry said in a statement.

  BBC News - Gambia cut ties with Iran and order diplomats to leave
   
 2. m

  mamanalia JF-Expert Member

  #2
  Nov 23, 2010
  Joined: Nov 7, 2009
  Messages: 671
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Gambia imesema inakatisha uhusiano wake na Iran, na kuwataka wawakilishi wote wa serikali ya Iran waliopo Gambia kuondoka katika kipindi cha saa 48.

  Maafisa wa taifa hilo dogo la Afrika Magharibi, hawajatoa sababu ya kuchukua hatua hiyo.

  Hata hivyo, mwezi uliopita Nigeria ilisema imekamata shehena ya silaha zinazosafirishwa kinyume cha sheria, ambazo inadaiwa zilikuwa zikipelekwa nchini Gambia.

  Shinikizo
  Afisa wa ngazi ya juu wa Iran Alaeddin Borujerdi amesema hatua hiyo ya Gambia imechukuliwa kutokana na shinikizo kutoka Marekani.

  Mamlaka za Nigeria zilisema zilikamata silaha hizo zikiwemo mabomu ya kurushwa na roketi na mabomu ya kurushwa kwa mkono,zikiwa katika makontena yaliyoandikwa kuwa yana vifaa vya ujenzi.
   
 3. L

  Leornado JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Bado baadh ya Magabachori ambao wamejisahau na kudhani TZ haina wenyewe....mtakimbia na ndala mkononi.
   
 4. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #4
  Nov 23, 2010
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Thanks to Gambian Government for your having discovered something BADLY SINISTER with IRANIAN Representation and buying off of many African Governments in order to plunder their natural resources and promote Islamic Extremism.

  The launch-pad for their most DREADED masterminds in Tanzania. Remember, if Iran fires NUCLEAR weapon in the air courtecy of AFRICAN URANIUM, then Africa shall have been party to that killing expedition.

  But for governments that are still doing business with terorrists like Rostam Aziz will soon be in for the mother of all surprises. Rostam Aziz operation from East Africa to Congo DRC are soon going to be under great magnifying radar of the world. Tupo mpaka hapo??? Kilicho na mwanzo hakikosi mwisho!!!!!!!
   
 5. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #5
  Nov 23, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Very good indeed-tanzania should do the same-as quick as possible-there is no reason of having diplomatic relation with fanatic nation like iran
   
 6. J

  John10 JF-Expert Member

  #6
  Nov 23, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kutokuwa na uhusiano na Iran, kwa Gambia ni Ujinga. Kwanza, shinikizo limetoka Marekani, pili, Gambia hainufakii na chochote kutoka Marekani zaidi ya kukopeshwa hela zenye higher Interest rate.

  Marekani anajaribu kutafuta mbinu za kushindana na China, na Iran ktk Afrika. Ukiangalia ktk historia, utaona hizi Domino Factors haziisadii Marekani, zaidi ya kutumia gharama zisizo na msingi.

  Marekani waliweza kushindana na Soviet Union, walijua kwamba kila Rafiki wa Soviet Union, basi atakuwa adui wa Marekani. Kitu ambacho Si kweli. Tanzania iliweza kuwa rafiki wa Soviet Union, na same time walikuwa marafiki wa Marekani.

  Gambia wanafanya mistake ambazo nchi nyingi tayari washazifanya. Iraq iliweza kutumiwa na Marekani, ili isiwe na uhusiano mzuri na Iran, matokeo yake Iraq walipanda kichwa wakiongozwa na American Puppet Saddam. Matokeo yake, Marekani imeivamia Iraq, na Afghanistan. Yote kwa sababu ya Domino Factor.
   
 7. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #7
  Nov 23, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Duh, waafrika bado wanasiktisha sana. Nways, hapo hakuna wa kumtegemea si Muiran wala Mmerekani, wote hao wana ajenda zao ambazo sio lazima ziwe parallel na za wagambia.
   
 8. Kibona

  Kibona JF-Expert Member

  #8
  Nov 24, 2010
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 1,021
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  We acha kupindisha mada unaacha kuongelea Silaha zilizokamatwa unarukia marekani, au mnataka kuifanya marekani kichaka cha kufichia maovu yenu. Silaha zimetoka Iran kuelekea Gambia njiani zimekamatwa na Nigeria. Sasa unachotakiwa kueleza ni hizo silaha zilikuwa zinaenda kwa nani wakati serikali ya Gambia haina habari na wala haijaagiza silaha, mbaya zaidi kwanini walebo kama vifaa vya ujenzi?
  Unaacha kuongelea hilo unarukia Marekani utafikiri wewe huna akili zako binafsi ila wamekufanya CD ROM inayoimba neno Marekani. Tunaongelea maslahi na hatari inayoikabili Afrika katika hilo sio Ushabiki wa Iran na Marekani, unakuwa mshabiki mpaka unaiweka Iran kundi moja na China wakati Iran haina chochote cha kuexport isipokuwa mafuta na silaha za magendo.
   
 9. sbilingi

  sbilingi Senior Member

  #9
  Nov 24, 2010
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndio nchi pekee duniani kiislam na inayoongozwa kwa imani ya kiislaam, ambayo wengi wakiwemo wewe fanatic hupendi pia kwa vile umeshalishwa propaganda na vyombo vya habari vya dunia na nchini. Sioni ajabu ukasema anachofanya Israel ni sawa na anachofanya Iran (si kuuwa watu) kikaonekana kibaya zaidi kwa sababu tu anayefanyiwa vile ni muislam.
   
 10. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #10
  Nov 24, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,227
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  umesema R.A ni gaidi?, KWAKUWA GREAT THINKERS HATUONGEI MAJUNGU tafadhari tudhibitishie hili la sivyo ufute kauri
   
 11. bona

  bona JF-Expert Member

  #11
  Nov 24, 2010
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,796
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  sijakuelewa unaposema kua marekani inashindana na iran? kwani iran ina usuper power upi hadi wawe kwenye caqtegory moja, with china ni sawa sio iran mzee bado ni nchi ndogo, hata kuwait wana sophisticated weapon kuliko wao!
   
 12. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #12
  Nov 24, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  hakuna alinilisha propaganga mkuu-Pili huwez kuafananisha Iran na Israel-never hawawez fanana-Iran amekuwa underground mchochech wa migogoro ming middle east na sasa nataka kuja Africa-once akishafka Gambia-next step might be Tanzania-thus better kuwa apart
   
 13. J

  John10 JF-Expert Member

  #13
  Nov 24, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Iran ni taifa dogo kiuchumi, lakini inainfluence kubwa ktk foreign policy. Ushindani wa Marekani na Iran, upo zaidi kwa sababu Marekani anaamini kila rafiki wa Iran basi atakuwa adui wa Marekani. Hizo silaha zilizokamatwa ni Consipiracy, the reality is in the big picture. Go back to Domino Factor, so you can understanding how US foreign works.
   
 14. J

  John10 JF-Expert Member

  #14
  Nov 24, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo la Iran na Marekani, halipo ktk uchumi. Bali lipo ktk political influence. Marekani anaamini kila rafiki wa Iran basi atakuwa adui wa Marekani. Hizo silaha zilizokamatwa ni Consipiracy. Study domino factor, so you can understanding how US foreign policy works.
   
 15. Kibona

  Kibona JF-Expert Member

  #15
  Nov 25, 2010
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 1,021
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Hey John10 ninachotaka ni wewe uongee vitu kwa evidencies, kwamba unapoiingiza Marekani katika hilo ni kwa sababu una habari za uhakika au unahisi tu kuna mkono wa marekani? kama una data tupe sources lakini kama huna taarifa rasmi usiandike hisia hapa kwa sababu unahisi marekani wapo kila Mahali.

  Sasa kama Iran rafiki yake ni Gambia kwanini ianze kumhujumu rafiki yake, ndo maana nasema tunatakiwa tujadili unafiki wa Iran na sio kuangalia nani kaishauri Gambia kuvunja uhusiano, maana Gambia ni nchi inayojiamulia mambo yake yenyewe na ina maslahi yake in marafiki wengi tu ambao inawezekana ni maadui wa Iran kwahiyo wanaweza wakashauriwa na nchi yoyote inayoichukia Iran na sio Marekani peke yake.
  Iran ina maadui wengi tu lakini inachotaka kufanya huko Gambia na hizo silaha za magendo ndo kinachotia wasiwasi labda mpaka watakapotoa sababu za kueleweka ndo wasiwasi utatoweka.
   
 16. Mpeni sifa Yesu

  Mpeni sifa Yesu JF-Expert Member

  #16
  Nov 25, 2010
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  wairan si ndo hao waliojaa kwenye misikiti hapa Dar wakihubiri ugaidi kwa watz, wametembelea misikiti yote. jk kuja kustuka atakuwa cuf imepokea masilaha kibao na wanataka kumtengua yeye mwenyewe, na jinsi kilivyo chama cha udini wa ukanda wa pwani..., JK tafadhali uwe makini na iranians...
   
 17. J

  John10 JF-Expert Member

  #17
  Nov 25, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  "US pressure' forced Gambia to sever Tehran ties" Bloomberg News.
  The U.S. and its allies are working to undermine the policy of President Mahmoud Ahmadinejad's government to strengthen ties with Africa. Gambia received pressure from the United States to severed ties with Iran.

  "This move is seen as a result of American pressure as well as US policies aimed at damaging Iran's relations with different countries, including in Africa," said Alaeddin Borujerdi, the head of parliament's foreign policy commission.

  The lawmaker sought to play down relations between the two countries although Iran has been involved in many projects in Gambia. "Iran's relationship with Gambia was not on the highest political level – not even on a level for us to establish an embassy there," he said.

  Gambia, said to be the smallest country on the African continent, announced on Monday it had cut all ties with Tehran, without giving any reason for its decision. It ordered all Iranians representing their government to leave the country within 48 hours. The two states had repeatedly declared mutual support up until last week. Bloomberg News.
   
 18. J

  John10 JF-Expert Member

  #18
  Nov 25, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Hakuna evidence to claim kwamba ni serikali ya Iran ndiyo iliyokuwa inatransfer hizo silaha. Zile silaha zilizokamatwa ni watu binafsi. Bout ni Mrusi aliyematwa na Marekani, lakini serikali ya Russia haihusiki kabisa na hizo silaha.
   
 19. Kibona

  Kibona JF-Expert Member

  #19
  Nov 26, 2010
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 1,021
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Kwa kukuongezea tu mimi mwenyewe nilisikia msimamo huo wa Iran katika PressTV ya Iran lakini nilichokuwa nataka mimi ni sources zinazothibitisha kuwa Marekani ameiforce Gambia, hapa wewe umeleta tuhuma za Iran ambazo hata Iran inatapatapa badala ya kueleza kwanini imepakia silaha kupeleka Gambia bila Gambia yenyewe kujua mbaya zaidi zikiwa zina lebo ya vifaa vya ujenzi? na zilikuwa zinaenda wapi? Sasa badala ya kujibu hayo maswali Iran inakimbilia kuituhumu Marekani kuwa imeilazimisha Gambia ivunje uhusiano na Iran.

  Tuhuma zinazotolewa na Iran wala Utetezi unaotolewa na Marekani haviwezi kuwa ushahidi mpaka watakapo leta ushahidi ulio wazi.
  Na kama marekani inaweza tu ikailazimisha nchi kuvunja uhusiano na iran kwanini hawajatulazimisha sisi au unataka kusema sisi tuna nguvu sana kiasi kwamba marekani hawatuwezi?
   
 20. Kibona

  Kibona JF-Expert Member

  #20
  Nov 26, 2010
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 1,021
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Umesahau mzozo ulikotokea.
  Kumbuka usafiri wa meli sio kama basi ambapo unaweza usijue kuwa njiani basi lilipakia nini, na Nigeria ilipokamata shehena hizo Iran haikukanusha kuwa meli haikutokea Iran, Na meli inaboard mzigo kwa utaratibu maalum. ingekuwa hamna utaratibu wafanyabiashara wangeibiwa sana mizigo yao. kwahiyo data zote za kuboard ziko kule ilikotokea na zinaonyesha mzigo unakoelekea kwa hiyo iran ilikuwa haina ujanja wa kukataa kwa sababu ni mamlaka zake hizohizo ndo zilizotuma taarifa ya meli iliyobeba mzigo fulani itapitia Nigeria kuelekea Gambia, walichokuwa wanafanya wanigeria ni kujaribu kuhakikisha tu kama kweli humo kuna vifaa vya ujenzi au la na sio kila mara wakaguzi wanaweza kukagua kwa ufasaha kama walivyofanya inawezekana wakati mwingine zimekuwa zikipita bila kustukiwa.

  Kwa hiyo kuhusu evidence ondoa kabisa, ndo maana hata iran haijakanusha kuwa silaha hazijatoka kwake bali imeituhumu marekani kwa kuilazimisha Gambia kuvunja uhusiano na iran lakini imesahau kuwa marekani kama inaweza kufanya hivyo kisiri kwa Gambia basi inaweza kufanya hivyo kwa nchi zote za kiafrika sasa sijui kwanini haifanyi hivyo?
   
Loading...