Gambaz nimefika mnipokee wakuu!.

mkuu asante sana kwa kunikumbusha rules japokuwa nilishazisoma maana nilikuwepo humu as guest kwa miezi 18 nimeamua kuingia baada ya kuona upotoshwaji mkubwa
Upotoshwaji upi huo?
 
mwita?
 
multiplier effect.... mnh:ballchain:
 
karibu sana "nepi"...!

....already known!
 

duh, wewe ni hao jamaa ni kitu kimoja ehh? Gambaz - a=gamba... Umelivua au bado unalo?
 
Tulishaambiwa mko kumi, hivyo bado tisa, waambie wenzako wawahi kujiunga wanatufanya tuchoke kuwasubiria, karibuni sana
 
Nimekufuatilia toka ulipokuwa unaingia kama Guest nikagundua meeeengi, sitaki kuyataja hapa ila ukisumbua jamvi nitayasema mkuu. Anyway, karibu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…