Gamba lazidi kuwa hoi bin taabani

Naifananisha CCM na mgonjwa wa UKIMWI ambaye badala ya kula vyakula vya vitamin,kumeza dawa za kuongeza siku,yeye anaamini karogwa na kukimbilia kwa waganga wa kienyeji.

Huu ni wakati wa CCM kufa tena kifo kibaya.Watafuta mchawi sana,watafukuzana sana wataweka makundi hata manne lakini sikio la kufa halisikii dawa.imani yangu CCM ktk safu ya viongoz hakuna aliye makini.byebye CCM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom