Galaxy tab 2 ,16gb inauzwa 600,000/= TZS

Galaxy tab 2 ,16gb inauzwa 600,000/= TZS

Kigogo

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2007
Posts
20,508
Reaction score
6,200
Galaxy tab 2 ,16GB tajwa hapo juu inauzwa na Kigogo haraka sana na bei yake ni TZS 600,000/= ..
Tafadhali kama unaitaka twanga 0719 330278 ntaideliver mpaka mlangoni kwako.

Wahi offer hii kabla sijawa busy na mambo ya machakato ya serikali ya shirikisho..

Kigogo-Mapumzikoni Dar
 
Mode gani? Inafanyakazi kama simu pia au ni Tablet tu? Hebu tumwagie details zake mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom