Nauza Samsung Galaxy Tab 2, inch 10.1

uzeebusara

JF-Expert Member
Apr 15, 2013
657
514
Nauza Samsung Galaxy Tab 2, inch 10.1
Rangi ni nyeupe
Uhifadhi ni 16GB
Modeli namba ni GT - P5100. TCRA hawatakugusa
Mfumo wa android 4.2.2
Hali ya simu ni bado nzuri sana
Imetumika kwa muda wa miezi 7 (risiti ya kununulia nimesahau nilipoiweka ila ikipatikana mnunuzi ataonyeshwa)
Bei ni Tsh 370,000 maongezi yapo
Mahali simu inapatikana ni Jijini Dar Es Salaam
Mawasiliano 0659 211 222
Karibuni
Picha
1457864729804.jpg
1457864814912.jpg
 
Mkuu hiyo kitu inakaa na chaji kwa wastani wa masaa mangapi? je inafanya kazi vzr kwenye 3G na wifi?

ni under licence china? au samsung UK?
 
Inakaa na chaji kwa muda mrefu kama upo busy na internet inafika 3 hours na kama upo offline masaa zaidi ya sita. Ni made in vietnam by samsung korea
 
Msemakweli mpenzi wa Mungu, ukiiweka busy sana inapata joto kidogo sio la kukera. La kawaida tu ambalo mimi binafsi kwa ufahamu wangu naona la kawaida. Hii ndio mapungufu yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom