Galaxy S6 edge Plus 64GB, Iphone 6s Plus 64GB kwa Bei pouwa.

Galaxy S6 edge Plus 64GB, Iphone 6s Plus 64GB kwa Bei pouwa.

Vunja Bei: Iphone 6 (s) ya 128GB Rose Gold color...
# Bei pouwa...1.45mil
1469902423336.jpg
1469902467693.jpg
1469902503899.jpg
 
Unapatikana wapi?? Kwa Dar Es salaam???
Tupo Dar, Ofisi zetu zipo kkoo, mtaa wa aggrey. ila kwa wasioweza kufika dukani tunawaletea popote pale walipo (Dar es Salaam)..pia kwa wateja wa mikoani huwa tunawatumia kwa Mabasi.
# 0654776976
 
Habari Wakuu, mzigo mpyaa umeingia. Pia Aksanteni sana wateja wangu hasa wa mikoani ambao tupo pamoja mpaka sasa, na mnaonisapoti Vunja Bei kwa kununua bidhaa zangu za smartphones na zaid kwa kuniunganisha na wateja wengine, nawashukuru saana....tupo pamoja! Pia ile offer ya glass protector imerudi tena, kwa wateja wangu wote watakaonunua cm kwangu msimu huu watajipatia glass protector au cover au vyote kwa pamoja bure kabsa.

Karibuni saana ndugu.
 
Samsung j7 bei gani mkuu
 
Mkuu hauleti vioo vya simu orijino

Nahitaji kioo cha iphone 5s
Vipo vioo mbona...hata nikiwa sina ninaweza kukusaidia kupata sehemu kwa bei nzuri kiongozi...nichek tu hewani..0654776976
 
Hurry up Come &Buy.

IPhone Six 64GB, Gray color in best condition with all accessories..+ glass protector and back cover for free,
Price 850k
cont: 0654776976
7b615392ff42c59037bd4d436c02fb75.jpg
 
Bei ya simu Mpya ya Samsung Galaxy S6 ctaweza Kumudu je naweza kupata used?
 
Bei ya simu Mpya ya Samsung Galaxy S6 ctaweza Kumudu je naweza kupata used?
Kwnini usimudu aysee...me ninauza bei cheee kabisa mkuu...ondoa hofu. Nichek 0654776976
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom