ukieka line ya voda automatic inaji activate wap (badala
ya internet) ndio maana umepata hilo tatizo. opera na
whatsapp wanakubali wap ila service za google hazikubali
kusolve hilo tatizo inabidi utengeneze apn (access point
name) ya internet
bonyeza menu then setting then kwenye wireless and
network nenda mobile networks kisha click click apn
utaona kuna voda wap na mms bonyeza button ya menu
chagua new apn
kwenye connection name andika chochote
kwenye apn andika internet
turn back then activate setting zako ur done