Galaxy S3 touch screen haifanyi kazi (it has stopped responding)...

Galaxy S3 touch screen haifanyi kazi (it has stopped responding)...

Mbuki Feleshi

Senior Member
Joined
Jan 24, 2011
Posts
155
Reaction score
29
Ni baada ya kutumbukia kwenye maji juzi, nliitoa nikatoa betri na kuikausha kwa kuianika juan kwa mda wa masaa kadhaa, baada ya kuiwasha iliwaka ila ikawa haionyeshi vyem so nikaizima na kuendelea kuianika jana siku nzima baadae jioni nikaiwasha ikawa sawa kabisa ila baadae nikagundua touch screen haifanyi kazi yan siwez kufanya chochote hata kupokea simu, nitashukuru kwa msaada wowote ule kwa yeyote mwenye uelewa wa nini natakiwa nifanye.
 
mkuu pole sana.

ingrkuwa masuala ya software tungeweza kusaidiana. lkn kwa kuwa imeingia maji inabidi uprleke kwa fundi yeyote mzuri aangalie tatizo ni maji bado yapo ndani kwa kuifungua SIM.
 
kaka badilisha screen touch ni elfu sitini pamoja na ufund
 
kaka badilisha screen touch ni elfu sitini pamoja na ufund

Wapi naweza pata iyo bei kaka? maana nmeulizia samsung wamenambia zaid ya laki mbili hofu yangu yaweza isiwe halisi na yenye ubora kama iloharibika!
 
mkuu pole sana.

ingrkuwa masuala ya software tungeweza kusaidiana. lkn kwa kuwa imeingia maji inabidi uprleke kwa fundi yeyote mzuri aangalie tatizo ni maji bado yapo ndani kwa kuifungua SIM.

Sim=laini?
 
Inabidi uapugredi screen kwa ku download screen nyingine
 
Hebu jaribu ku root kwenye odin then uinstall upya android jelly bean 4.1. Izime then reboot kwa volume up +home+power button.then install. Inaweza ikawa ni os glitches.
 
mkuu toa betri na cover then dumbukiza katika mchele hakikisha ni white rice na uwepo ndan ya plastic container iweke at list for 3 days......fanya ivo kabla hujaua display.....
 
Pole sana kwa mkasa wa simu kuingia kwenye maji
majibu mazuri umepata ila duh ID yako.....nikadhani sijui DPP ELIEZA FELESHI MBUKI.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom