H HAMY-D JF-Expert Member Joined Sep 18, 2011 Posts 7,146 Reaction score 3,830 May 28, 2013 #1 Wadau kama kichwa cha habari kinavyo someka hapo, kitu kipo mkononi na tena ndani ya box. Bei Tshs. 700,000. Lakini kwa wenye uhitaji wa galaxy S used ipo kwa Tshs. 300,000.
Wadau kama kichwa cha habari kinavyo someka hapo, kitu kipo mkononi na tena ndani ya box. Bei Tshs. 700,000. Lakini kwa wenye uhitaji wa galaxy S used ipo kwa Tshs. 300,000.
Akili Unazo! JF-Expert Member Joined Feb 18, 2009 Posts 3,930 Reaction score 4,937 May 28, 2013 #2 HAMY-D said: Wadau kama kichwa cha habari kinavyo someka hapo, kitu kipo mkononi na tena ndani ya box. Bei Tshs. 700,000. Click to expand... Weka mapicha pia sema umeitoa wapi na kwa nini unaiuza?
HAMY-D said: Wadau kama kichwa cha habari kinavyo someka hapo, kitu kipo mkononi na tena ndani ya box. Bei Tshs. 700,000. Click to expand... Weka mapicha pia sema umeitoa wapi na kwa nini unaiuza?
H HAMY-D JF-Expert Member Joined Sep 18, 2011 Posts 7,146 Reaction score 3,830 May 28, 2013 Thread starter #3 Akili Unazo! said: Weka mapicha pia sema umeitoa wapi na kwa nini unaiuza? Click to expand... Sawa afande, Picha sidhani kama ina ulazima kwani ipo kwenye box, this means ni mpya. Kuhusu kwanini nauza, mimi ni mfanyabiashara na sio mgeni humu, bidhaa nyingi nimeshauza bila kupokea malalamiko yoyote yale. Kwa yeyote ambae yupo interested, ani-PM.
Akili Unazo! said: Weka mapicha pia sema umeitoa wapi na kwa nini unaiuza? Click to expand... Sawa afande, Picha sidhani kama ina ulazima kwani ipo kwenye box, this means ni mpya. Kuhusu kwanini nauza, mimi ni mfanyabiashara na sio mgeni humu, bidhaa nyingi nimeshauza bila kupokea malalamiko yoyote yale. Kwa yeyote ambae yupo interested, ani-PM.