Galaxy s10e haisomi line

kagwima

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2016
Posts
1,327
Reaction score
1,705
Usika na kichwa cha habari hapo juu
Nimetumiwa simu na rafiki yangu lkn tatizo haisomi line inasoma kwa muda then inanilete ujumbe huu

Mwenye kujua tatizo naomba anisaidie

Natanguliza shukrani
 
verizon ni mtandao wa Marekani mkuu, imewahi kuhitaji code mkuu?
 
Usika na kichwa cha habari hapo juu
Nimetumiwa simu na rafiki yangu lkn tatizo haisomi line inasoma kwa muda then inanilete ujumbe huu

Mwenye kujua tatizo naomba anisaidie

Natanguliza shukraniView attachment 2350574

Umetumiwa toka nchi gani, USA?

Je, unaweza ukaweka hapa version ya hiyo simu yako? nenda Settings, then About phone...

Tatizo linaweza likawa carrier frequency za bongo si sawa na za ilipotoka, itasoma 2G tu kama ukifix katika band hiyo
 
wasiliana na aliyekupa mkuu pengine ina deni, aki clear kule itasoma huku, otherwise peleka kwa mafundi wa ku unlock simu, walipie wakufungulie.
Ahsante kwa msaada wako mkuu
 
Umetumiwa toka nchi gani, USA?

Unaweza ukaweka version ya hiyo simu yako, nenda Settings, then About phone...

Tatizo linaweza likawa carrier frequency za bongo si sawa na za ilipotoka, itasoma 2G tu kama ukifix katika band hiyo
Ngoja nijaribu kufanya hivyo
Yeah ilitumwa kutoka USA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…