Pung'o boy
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 685
- 305
Wadau naomba msaada s2 yangu haishiki network nin shida??
Wadau naomba msaada s2 yangu haishiki network nin shida??
haishiki inasemaje?
haishiki inasemaje?
Wadau naomba msaada s2 yangu haishiki network nin shida??
Ni OG ama ya kimagumashi?
oky vp baseband ipo?
Baseband nayo ipo pia....
jarbu ku restore efs
Sasa hapo mkuu kwenye efs ndio nimeshindwa jinsi ya kufanyaa....
root hyo simu kwanza.
Nitumie software ipi....nitumie link kama inawezekana ya hio software na procedure utakua umenisaidia sana