Galaxy Note 6 edge

Galaxy Note 6 edge

Uzi wa Darasa la Android usharudi kama vipi utafute kwa msaada zaidi
 
Hayo ndio matatzo ya samsung edges
Yangu ilianza hivyo ivyo kupata moto na kuzima gafla na kujiwasha...siku ikazima haikuwaka mpaka leo...nimewapelekea samsung wakasema ni motherboard inatatzo
Nimeamua kuipack
10d9c6f59b8058ee1ae4f8f777c1dcba.jpg
 
ukinunua simu yenye warranty wala hupati headache kama hizo.
 
Hi.Naomba kuuliza sim twaja hapo juu imkua na ttizo la kupata moto sana na inpofkia asilima 70 za betri huwa ina zima ghfla,na baad y dakka nkiwasha ndo inawaka.yan kimcng inazima zima sana.Saidia plse...the problem and soln
Mkuu shida ni battery hapo
 
Hayo ndio matatzo ya samsung edges
Yangu ilianza hivyo ivyo kupata moto na kuzima gafla na kujiwasha...siku ikazima haikuwaka mpaka leo...nimewapelekea samsung wakasema ni motherboard inatatzo
Nimeamua kuipack
10d9c6f59b8058ee1ae4f8f777c1dcba.jpg
Niuzie mm hiyo ya mazabod na mm nikajaribu kuangaika nayo
 
Kiukwel motherboard nlibadilisha but sasa nahc ni battery kama anavosema jamaa
 
Back
Top Bottom