galaxy note 3.. znastaki sana..

chinga4

Senior Member
Joined
Mar 18, 2013
Posts
131
Reaction score
58
galaxy note 3.. znasumbua sana.. znastaki sana.. solution n nn?
 
Zinastaki kwa kuwa afri kajiuzulu umakamu wenyekiti chadema
 
taja ulinunua kiasi gani? tukwambie sababu
 
galaxy note 3.. znasumbua sana.. znastaki sana.. solution n nn?

Mkuu angalia isje kuwa wameshakuliza tayari, yaani Note 3 igandegande?!!! jaribu kureset ukiona bado inafanya hivyo rudisha dukani, kama ni original lazima utakuwa ulipewa guarantee! Na kama ni ya Guanghzhou ujue ndiyo maumivu yenyewe hayo mkuu!
 
ushalizwaaaa wewe.. ulinunua wapi na sh ngapi!?
 
ushalizwaaaa wewe.. ulinunua wapi na sh ngapi!?

watanzania tunawazwa kulizwa haufikiri kuna kitu kimeifanya istuck
emu soma reviews za waelewa kama chief yeye kajibu technically na sio kiswaz zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ