RJ45 JF-Expert Member Joined May 20, 2014 Posts 340 Reaction score 119 Jun 6, 2016 #1 Wakuu nahitaji kununua moja kati ya simu hizo.... naomba ushauri kuhusu ubora wake plz!!! Ni ipi itakuwa bora zaidi ya nyingine?
Wakuu nahitaji kununua moja kati ya simu hizo.... naomba ushauri kuhusu ubora wake plz!!! Ni ipi itakuwa bora zaidi ya nyingine?
samsun JF-Expert Member Joined Feb 9, 2014 Posts 7,386 Reaction score 5,968 Jun 6, 2016 #4 Galaxy j1.
cds Senior Member Joined Oct 26, 2012 Posts 144 Reaction score 79 Jun 8, 2016 #7 Mimi ninayo j1 ila nakushauri nunua C5 maana ni Nzuri na bora,mfano ukubwa na cameraC5 ipo vizuri sana
Mimi ninayo j1 ila nakushauri nunua C5 maana ni Nzuri na bora,mfano ukubwa na cameraC5 ipo vizuri sana
kcamp JF-Expert Member Joined Aug 31, 2014 Posts 8,526 Reaction score 8,029 Jun 8, 2016 #9 Joe RK said: Wakuu nahitaji kununua moja kati ya simu hizo.... naomba ushauri kuhusu ubora wake plz!!! Ni ipi itakuwa bora zaidi ya nyingine? Click to expand... Bajet yako sh ngap mkuu
Joe RK said: Wakuu nahitaji kununua moja kati ya simu hizo.... naomba ushauri kuhusu ubora wake plz!!! Ni ipi itakuwa bora zaidi ya nyingine? Click to expand... Bajet yako sh ngap mkuu
Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 72,146 Reaction score 190,621 Jun 8, 2016 #10 Kula tecno C5 hio, Samsung j1 is a overhyped piece of shit!
S sawabho JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 5,289 Reaction score 3,125 Jun 8, 2016 #11 Joe RK said: Wakuu nahitaji kununua moja kati ya simu hizo.... naomba ushauri kuhusu ubora wake plz!!! Ni ipi itakuwa bora zaidi ya nyingine? Click to expand... Ninayo J1, naona network yake haina nguvu sana maana kuna maeneo nikifika inatoweka lakini handset nyingine inakuwa haina shida. Sina uzoefu na hiyo C5
Joe RK said: Wakuu nahitaji kununua moja kati ya simu hizo.... naomba ushauri kuhusu ubora wake plz!!! Ni ipi itakuwa bora zaidi ya nyingine? Click to expand... Ninayo J1, naona network yake haina nguvu sana maana kuna maeneo nikifika inatoweka lakini handset nyingine inakuwa haina shida. Sina uzoefu na hiyo C5
S sejian Member Joined Jun 1, 2016 Posts 9 Reaction score 1 Jun 8, 2016 #12 Yaani mi vifaa vya Samsung sitakaa ninunue, vinauzwa bei ghali compare with others still have got the same properties
Yaani mi vifaa vya Samsung sitakaa ninunue, vinauzwa bei ghali compare with others still have got the same properties
RJ45 JF-Expert Member Joined May 20, 2014 Posts 340 Reaction score 119 Jun 8, 2016 Thread starter #13 kcamp said: Bajet yako sh ngap mkuu Click to expand... 200k mkuu
RJ45 JF-Expert Member Joined May 20, 2014 Posts 340 Reaction score 119 Jun 8, 2016 Thread starter #14 nimefanya maamuzi ya kuchukua c5 brand new ni unbox mwenyewe..... msaada mwenye kujua wapi nitaipata kwa bei affordable???
nimefanya maamuzi ya kuchukua c5 brand new ni unbox mwenyewe..... msaada mwenye kujua wapi nitaipata kwa bei affordable???
RJ45 JF-Expert Member Joined May 20, 2014 Posts 340 Reaction score 119 Jun 8, 2016 Thread starter #15 Extrovert said: Kula tecno C5 hio, Samsung j1 is a overhyped piece of shit! Click to expand... vip mkuu una uzoefu na c5? ntaipata kwa bajet gani???
Extrovert said: Kula tecno C5 hio, Samsung j1 is a overhyped piece of shit! Click to expand... vip mkuu una uzoefu na c5? ntaipata kwa bajet gani???
Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 72,146 Reaction score 190,621 Jun 8, 2016 #16 Joe RK said: vip mkuu una uzoefu na c5? ntaipata kwa bajet gani??? Click to expand... Kwa budget isiozidi 250k utaipata c5 mupya kabisa!
Joe RK said: vip mkuu una uzoefu na c5? ntaipata kwa bajet gani??? Click to expand... Kwa budget isiozidi 250k utaipata c5 mupya kabisa!
RJ45 JF-Expert Member Joined May 20, 2014 Posts 340 Reaction score 119 Jun 8, 2016 Thread starter #17 Extrovert said: Kwa budget isiozidi 250k utaipata c5 mupya kabisa! Click to expand... asante mkuuu
Farudume12 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2016 Posts 621 Reaction score 352 Jun 10, 2016 #19 Extrovert said: Kwa budget isiozidi 250k utaipata c5 mupya kabisa! Click to expand... Mimi natafuta iliotumika, ambae ikonao tuwasiliane.
Extrovert said: Kwa budget isiozidi 250k utaipata c5 mupya kabisa! Click to expand... Mimi natafuta iliotumika, ambae ikonao tuwasiliane.