simu bado mpya touch screen na ina vitu vyote vya kijanja.call: 0656063933 or PM
'haya ndugu wee ngoja waje tu wadau...............watakuliza mbona hujaweka picha,ya mwaka gani,we upo mkoa gani,sehem gani,mpya kabisa kwenye box au imetumika,na kama imetumika ni mda gani,na mwisho watakwambia kula 50,000 cash mkuu,ngoja waje ndugu mi nimepita tu'
Naona jamaa katoka nduki kama jina la jamaa aisee,teh teh.
Hahaaaaaaa'haya ndugu wee ngoja waje tu wadau...............watakuliza mbona hujaweka picha,ya mwaka gani,we upo mkoa gani,sehem gani,mpya kabisa kwenye box au imetumika,na kama imetumika ni mda gani,na mwisho watakwambia kula 50,000 cash mkuu,ngoja waje ndugu mi nimepita tu'