mkuu hio code imekataamkuu hizo simu za samsung zinazoishiwa na T zikimbie tu ni za T-Mobile, hata hio metropc kama sijakosea inatumia network ya T-mobile, hao jamaa frequency zao wanatumia wao tu dunia nzima hio ndio mila yao.
hapo utafute tu njia nyengine ya kuchange frequency.
*#32489# ijaribu hio service mode kama itakubali.
mkuu am sorry,hivi hapa nchini makampuni yetu ya simu yanatumia bands hizi wcdma 2100?mkuu hizo simu za samsung zinazoishiwa na T zikimbie tu ni za T-Mobile, hata hio metropc kama sijakosea inatumia network ya T-mobile, hao jamaa frequency zao wanatumia wao tu dunia nzima hio ndio mila yao.
hapo utafute tu njia nyengine ya kuchange frequency.
*#32489# ijaribu hio service mode kama itakubali.
3G ni 2100 ila smart anatumia 850 au 900mkuu am sorry,hivi hapa nchini makampuni yetu ya simu yanatumia bands hizi wcdma 2100?