Mwenye nayo bado ana nafasi
Ndo maana nikaweka namba uweze kupiga pia
Bado sijapata natafuta kwa mwenye nayo yoyoye nyeusi yaani hata kama imechoka namba ya simu nimeweka lets get in touch
Jamani siyo kila kitu utani Nokla. Kaiuze Korea basi. Maana mpya 170 mpaka 190 halafu used for 12 months badala ya kudepreciate inaapreciate. Kazi kweli.
Nimeona bwana watu wazima nao wanakuwa na mizaha @ hekimatele
Bado sijafanikiwa mpaka sasa