Gaithers special

Rtd commando

Senior Member
Sep 9, 2014
178
66
Wadau salaam,siasa zimenichosha na naona chini ya mh Rais Magufuli Joseph John pombe nchi ipo mikononi salama na mambo yanaendelea vizuri,ni kwa msingi huo naomba tugeukie kazi tutakayoifanya mbinguni (if at all there is heaven) tujaribu kusema chochote tunachojua khs kundi hili la uimbaji la southern gospel liitwalo gaither gospel home coming,nyimbo zao,waimbaji wao,historia yao na chochote unachodhani kinatufaa hapa kukifaham.
Signed by Retired (certainly not tired) commando.
 
Sidhani kama wengi wanalifahamu... nimekuwa mnazi mkubwa sana wa gaither gospel music, nina series zao za homecoming kama saba hivi.... wimbo wa This land is my land nimetokea kuupenda sana.
Natamani wanamuziki wetu wajifunze toka kwa Gaither
 
Hawa jamaa watakuja lini tz jamaniiii? waimbaji wetu wa injili wanahitaji kujifunza kutoka kwa hawa watu.
 
Baba yangu alinifanya niwapende sana hawa Gaither ni mpenzi sana wa nyimbo zao, jamaa wanajua kuimba mziki unaotoka kama sio live vile ila naskia wengi wameaga dunia wale wazee na kina Jessy diskson so sad
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom