FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,777
Gairo? or is it Cairo?
JF turudi kujadili mada zenye manufaa kwa Watanzania.
Kampuni inayoitwa Serengeti, jina la Kitaifa kabisa na la Kitanzania, ilipatiwa mradi wa kuwapa maji wana Gairo, kwa fedha nyingi sana. Jee, imewapa maji? kama jibu ni ndio! basi wanastahili kila sifa, kama jibu ni sio! Kwa nini? Tuchambuwe.
Kampuni hiyo hiyo sasa imepewa kutupa maji Darisalama. Jee, wataweza?
Nasikia wana mradi mwingine huko Zanzibar. Jee, wamewapa maji?
Cha kushangaza na kusikitisha, hii sio kampuni ya Kitanzania, ni kampuni inayomilikiwa na mtu anaeitwa Ali Talebi, ni Muiran ingawa ana Uraia wa Kitanzania wa kupewa. Si mzaliwa wa Tanzania, wala wazee wake. Na kajaza wafanyakazi wa Kiiran, seuse ya kuwa wana vikwazo vya Kimataifa.
Miradi yake yote kajaza menjimenti za WaIran, na haikamiliki.
Kwa nini watu kama huyu wanapewa miradi ya Kitaifa? Inayohusu uhai wa Watanzania? wana nini zaidi?
Ingekuwa wanatimiza, ningewaunga mkono na ningwasifia na kuwatetea kwa sana tu, lakini kwa mujibu wa habari zilizopo, hawatimizi miradi yao na wanatamba kuwa hakuna ataewafaya kitu.
Tujadili.
Hivi, hiyo miradi waliopewa> ni kwa vigezo vipi? kampuni za Kitanzania zilishindwa? (Ingawa na wao wanajifanya ni kampuni ya Kitanzania) Ukweli ni kuwa ni waongo, si Watanzania.
Hivi wale wana Usalama wa Taifa wanajuwa kuwa maisha ya Watanzania yako mikononi mwa hawa watu? maji, maji, maji!
Hivi wale wa idara ya kupambana na rushwa wameshachunguza hawa watu wanapataje hii miradi?