Gaidi wa kimataifa netanyahu arejea israel

Gaidi wa kimataifa netanyahu arejea israel

Status
Not open for further replies.

Yusomwasha

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
2,092
Reaction score
844
Hatmaye waziri mkuu wa utawala haramu wa israel hatimaye amerejea huko israel akitokea usa alipohutubia bunge la kongress
tangu kuanzishwa kwa taifa hili bandia la israel utawala huu haraMu mwaka 1948 utawala huu umekua ukitenda mauaji,uporaji wa ardhi,pamoja na tabia ya wazayuni ya kuwatemea mate wapalestina
Mmasonia huyu bibi netanyahu ndiye gaidi namba moja duniani kwa kuwaua kwa umati wanaNchi dhulumiwa wa palestina
hasa ikikaribia uchaguzi mkuu amekuwa akianzisha mashambulizi ya kiNyama dhidi ya wanawake na watoto wadogo wa palestina ili ashinde uchaguz
jee?ni ubinadamu kumwaga damu za raia wasio na hatia ili kushinda uchaguzi?
Huo ndiyo ugaidi tunaoshuhudia karne hii
netanyahu ndo mmasonia muuaji asiye na huruma katili na gaidi wa karne hii
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom