Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana kuhusu mwenendo wa hii vita inayoendeshwa na marekani na washirika wake tangu walipopigwa na ndege za abiria kwenye minara ya kibiashara ya New York na Pentagon september 2001.
Baada ya hapo kumetokea mambo mengi tu kuhusu vita hii wanayoiita ya ugaidi, kama kitendo Shoe Bomber, Anthrax attack, mashambulizi ya mtu aliyejiita mungu aliyenyongwa last year virginia, Mnigeria aliyetaka kujilipua kupia bomb la kwenye pant et al.
Lakini pia kumetokea matukio makuu mawili hivi karibuni ya raia wa marekani kufanya mauaji ya kukusudia
1. Tukio la Forthood Major Nadal Malik la kuua askari wenzake kwa kile kilichodhaniwa kuwa ni upinzani wa vita dhidi ya mataifa aliyosema ni ya kiislamu ( Huyu mtu aliitwa gaidi, islamic terrorist n.k) hasa right wingnuts waliotaka kuonesha kuwa Obama is not making US safe,
2. Tukio jingine ni la juzi juzi ambapo Joe Stack aliamua kuchoma nyumba yake na kujaza ndege mafuta na kuibamiza kwenye jengo la serikali kitendo kilichomuua yeye mwenyewe na mfanyakazi mmoja wa Idara ya kodi. Hapa tuliambiwa kuwa hii ni separate incident na kwamba si shambulio la kigaidi. Hivi sasa kuna mjadala wa kuwa bwana huyu ni shujaa kwa kupinga serikali kumtoza kodi bila kuangalia kuwa kitendo chake kimefanya uharibu wa mali, maisha na kujeruhi raia wasio na hatia. Soma zaidi hapa: http://abcnews.go.com/GMA/joe-stacks-daughter-samantha-bell-calls-dad-hero/story?id=9903329
Swali langu ni: Gaidi ni mtu wa aina gani hasa na hero ni mtu wa aina gani hasa?. Je kuna double standards katika kulebo watu hawa?.
Ni nani Gaidi? ni lazima kuwe na standard moja tu bila kuangalia ethnicity au imani ya mtu. Koleo liitwe Kolea kila wakati na si kuliita kijiko wakati mwingine