Gahawa

Hii starehe no 1 ; kikombe cha kahawa na huku unaangalia ndunia inavyo kwenda
 
Sheria ya kahawa kama hii, utakiwa kuwa na kikombe kikubwaaa!!!! SAFI SANA KIJIWENI HIYOOO
 
Kikombe kama hicho kwanza hakina mshikio ndio raha yake..pili...ni ya moto tatu uwe na sandals..tayari kwa lolote....nne ..............malizia
 
Wengi tunapenda lakini hawa watu wanaouza sio wasafi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…