Kazitunayo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2013
- 3,784
- 3,205
Huyu jamaa alikua kwenye kipindi cha maskani cha Times FM sasa hivi simsikii tena maana nilisafiri kikazi mkoa na uko mkoa Times hamna mwenye data hebu atujuze wajameni.
Kwanza Fm ya Lady Jaydee ipo njiani pengine maandalizi yamepamba moto!
uyu edzen si alikua kiss fm??
kwani ni yeye ezden the rocka?
Uyu jamaa alikua kwenye kipindi cha maskani cha Times FM sasa ivi simsikii tena mana nilisafiri kikaz mkoa na uko mkoa Times hamna mwenye data ebu atujuze wajameni