Kwa hapa darisalam tayari hiyo redio inashikilia usukani na kwa mbaliiii inafuata mawingu.
Halafu na RFA sijui wamefanyeje naona inasikilizwa sana tofauti na zamani hadi kwenye daladala.
mnh! Nitajitahidi cku moja ni-tune in mida ya saa 17:30 (muda ulioandika hii post)... lakini inawezekana mwenzangu unaya-love hayo mabolingo! Sema kuna siku niliwapa salute ya heshima... ilikuwa weekend fulani hivi... sie ambao tulikuwa machaali in mid-1990's, na ma-hip hop waliyokuwa wanashusha hiyo weekend... weee acha bwana... ilikuwa njema si kidogo... zilikuwa ni pini zilizoenda shule na zika-graduate, sio hizi zenu za siku hizi za akina TI na akina Lil Wayne... old school tunajionea full utani!