Gadner G. Habash arudi rasmi Clouds FM

Kipindi cha leo tena kimekaa kifala fala siku hizI...wameweka na wanaume..nao wamekua km mashoga uongeaji mpk kushushuana hasa mussa...sikipendi
Tutaboresha
 
G habashi nitafurahi sana akirudi aiseee!! Safi sanaaaa!
 
Yes hapo CLOUDS ilikuwa juu sana, hawa walikuwa watangazaji bora Clouds:
  • M.L Chris,
  • Bobby,
  • Fina Mango,
  • Masoud Kipanya,
  • Jimmy Kabwe,
  • Seven Mosha,
  • Terrence, wengine nimewasahau majina.
    O.J na Jimmy Kabwe sasa wako Choice FM.
Jimmy Kabwe jina lake halisi alilopewa na wazazi wake ni JUMANNE KABWELA! Akaona soo kutumia hilo jina akalibadili liw
e kimtoni mtoni, akajiita Jimy Kabwe.
Wewe kama ni Angumbwike Aliko Mwambulukutu, jiite tu hivyo hiyo...unabadilishaje jina ili uonekane mzungu-mzungu?
 
Mimi nikishasikiliza muhtasari wa magazeti Radio one asubuhi, saa saba Mchana naingia kwenye website ya DW nasikiliza taarifa za habari za ulimwengu. Baada ya hapo ni hadi saa kumi na mbili na nusu jioni nasikiliza BBC, muda mwingine wote nipo na JF na najiona nipo current sana na habari. Hao sijui Fina, Kipanya na wengineo hata siwajui. Naona watu humu wanawafahamu in detail, daah! Hatufanani aisee
 
Colabo ya G habash na kibonde itarud tena ntasikiliza jahaz ss
 
Akhsante=ahsante
 
Huyu naye hatulii asije kuwa anatumika kama toilet paper.
 
Brother ratiba ya ujenzi wa Taifa sijaiona hapo, au wewe ni mtoto wa Hemed Bakayoko?
 
Huyu nae atakuwa hajielewi,Mara TIMES FM,E-FM leo anarejea Mawingu mhhhh!!!!!!!!!!!!! akapimwe si bure
Fursa kaka,vijana wanapiga pesa kupitia vipaji.hata ikija kwako usiache.Gardner aliuza sana kwa jahazi,wenye kampuni wakigundua hilo watakurudisha kwa gharama yoyote
 
Vipi yule mwenye maneno mkola nyani sijui kafanya nini...je katumbuliwa au kapeta?
 
Unawafahamu vizuri Masoud Kipanya na Fina Mango au ndio umewasikia leo? Maana watu wa mikoani mna tabu sana mshazoea matangazo ya redio Abood.
Pamoja na yote kubali kataa... Hando na Pj wamewaacha mbali sana hao.... Nakumbuka kipindi Fina na masudi wakiwa watangazaji wa clouds.. Hando alikua akichambua magazeti kwa Muda mdogo tu lkn ilitosha kabisa kutambua kua aliwazidi uwezo hao..... Ila kama wenye chao wameamua si kesi na si deni.
 

watu mna muda wa kuchezea, ati mnasikiliza redio
 
Huyu naye hatulii asije kuwa anatumika kama toilet paper.
binadamu anahama sehemu moja kwenda sehemu nyingine kutafuta maslahi.. ie. wazungu walitoka huko ulaya na kuja afrika kutafuta maslahi..kama wewe unataka atulie tuu sehemu moja kwenye ubongo wako kutakua na virus vya umasikini na upunguwani maaaa ni na..
 
watu mna muda wa kuchezea, ati mnasikiliza redio
Kama wewe unavyochezea muda wako hapa JF, hii ni ishara kwamba hata gari huna kenge wewe, watu tunasikiliza redio kwenye magari yetu kwenye foleni za Dar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…