GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,754
- 109,382
Kama anatafuta maslahi haina shidaHuyu nae atakuwa hajielewi,Mara TIMES FM,E-FM leo anarejea Mawingu mhhhh!!!!!!!!!!!!! akapimwe si bure
Daaaah naona Kusaga kaamua kurudisha watu walioipaisha clouds... Safi sana, nashawishika kurudi kusikiliza PB na jahazi sasa manake nilishaachaga kusikiliza
....acha uongo efm jaydee hajui hata maiki ilinunuliwa sh ngapi...we sema jamaa wamefika dau....KULE E fm kashindwana na mtaraka wake maana nasikia ni miongoni mwa wamiliki? komandooo!
Kuna kamgomo kwa watangazaji wengi wa sasa ndo maana kaamua kuwarudisha wa zamani
Hakika umekuwa ukitupatia habari za ukweli kila wakati, ila samahani kwa ushereheshaji mbaya.Mkuu Niamini Kuwa Gadner G. Habash Amerudi Rasmi Clouds FM Na Jumatatu Utamsikia Rasmi. Huniamini Mkuu? Kuna Nililolileta Humu La Uwongo?
Mjomba fools day ina mipaka yake ,ikishafika saa nne asubuhi hupaswi kudanganya tena hivyo kuwa na amani
Mkuu hujanielewa nimesema mwisho wa kudanganya ni saa nne asubuhi na taarifa hii umeleta baada ya saa nne hivyo hazitakua za uongoMkuu Hata Wewe Huniamini? Anyways Kuanzia Jumatatu Ijayo Andaa PONGEZI Zangu Kwani Nina UHAKIKA 100% Na Hii TAARIFA.
Kama ni kweli Upopoma utakuwa umekutoka
Wamtoe Kibonde pale kwenye Jahazi