GADIEL MICHAEL MMBAGA

Ajiandae kupigwa msumari tu na zimbwe jr maana nasikia yeye ndo mbeba mikoba pale msimbazi...
 
Yaani huu uzi hadi unafika kurasa ya nne yule POPOMA anayeshindaga kwenye duka la mke wa Gadiel pale Morroco hajaweka neno lolote, siamini kabisa
POPOMA njoo asee
 
WALE MABEKI WA KIBRAZIL WANAUWEZO WA KUCHEZA BEKI 2+ ERASTO, WALE USIOGOPE
 

Wanaziona tunguli na waganga wanavyopishana tangaza usifanikiwe
 
Wacha unafiki, alipokuwa Yanga alikuwa boya na hafai sasa kaja kwenu ndiyo mnashupaza bonge LA beki. Watz unafiki huu hatuwezi endelea.
Kutokana na hali ilivyokuwa Yanga, hakukua na namna yoyote nyingine ya kupata mchezaji mzuri zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…