Wachezaji wa Tanzania sijui huwa wanaogopa nini? Kwa nini wanashindwa kuwa wawazi kwamba mimi naondoka msimu ujao siyo leo unataka dau hili timu inakubali dk za mwisho unagoma unapandisha wanakubali,then unapandisha tena. Kuweni proffessional na msimamo,hakuna klabu inayo zuia mchezaji anae maliza mkataba kwenda anapo pataka. Lakini siyo kupotezeana mkataba.