Gadgets halisi(OG) zipo wapi?

Gadgets halisi(OG) zipo wapi?

Mtafiti77

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2011
Posts
1,938
Reaction score
2,353
Wajuvi wa mambo,

Kama heading inavyosema. Hivi, hapa Dar/Tz duka gani huuza vifaa vya elektoniki mfano simu, kompyuta , camera, n.k. halisi kabisa? Yani ninunue, niweze kusajili kifaa changu kwenye website ya manufacturer,kwa mfano, kama wafanyavyo mbele huko.

Je, ni kweli nikiingia maduka yetu yanayojiita wakala, mfano, nikinunua Sony hapa bongo, nikiingiza serial numbers kwa website husika ya Sony itakubaliwa?

Wazoefu ninaomba msaada
 
Kwa bongo ni changamoto ,maana mchina katawala soko letu saana. Na hii ni sababu wabongo tunapenda kitonga , hivyo wafanya biashara wanaleta mzigo utakaotoka kwa haraka.

.........ila ngoja tusubiri wajuzi wa mambo ...though am talkin from experience coz kula yangu inategemea uzaji wa hizo vitu. Hivyo soko nalijua vyema na najua bidhaa zinazopatikana sokoni kwa wingi.
 
Nmejiuliza swali Hilo Kwa upande wa spare hasa za Samsung Naimani hayo maduka yapo ila hatuyajui tu.

Japo sijawahi kufatilia mda mwengine nahisi mawazo yangu Yana leta tumaini sio la kweli.
 
Wajuvi wa mambo,

Kama heading inavyosema. Hivi, hapa Dar/Tz duka gani huuza vifaa vya elektoniki mfano simu, kompyuta , camera, n.k. halisi kabisa? Yani ninunue, niweze kusajili kifaa changu kwenye website ya manufacturer,kwa mfano, kama wafanyavyo mbele huko.

Je, ni kweli nikiingia maduka yetu yanayojiita wakala, mfano, nikinunua Sony hapa bongo, nikiingiza serial numbers kwa website husika ya Sony itakubaliwa?

Wazoefu ninaomba msaada
Unpata OG na warranty kabisa ikiwa kampuni husika official Ipo Tanzania.

Mfano Samsung official wapo Tanzania na ukinunua Bidhaa zao kwenye Duka ambalo linatambulika ukiweka Serial online unapata warranty na benefits zote zinazotambulika.

Kujua kama kampuni yako pendwa ipo Google ama ingia site ya manufacture angalia kama kuna wakala anayetambulika.

Sony hapo juu uliulizia Nimecheki site yao wana dealer mmoja tu anaetambulika hapa
 
Asante sana ndugu. Ngoja nifanyie kazi.

Edit: Pia, niliwaandikia huduma kwa wateja. Na wao wamenielekeza nicheki list ya dealers kwenye tovuti yao. Nimewaona dealers wawili.
inbound8999277664703942951.jpg
 
Back
Top Bottom