Qaddafi alimwamini Amin Dada cz at tht tym walihitajika viongozi wa aina ile! Alikuwa m2 thabiti kutetea haki na rasilimali za mwafrika hakuogopa ngozi nyeupe kama walivyo viongozi wetu wote wa Africa ambao hawana msaada wowote! limebaki jembe1 nalo ni Mugabe
kwa hiyo serikali unayoitaka ww ni ya ki dictator?Qaddafi alimwamini Amin Dada cz at tht tym walihitajika viongozi wa aina ile! Alikuwa m2 thabiti kutetea haki na rasilimali za mwafrika hakuogopa ngozi nyeupe kama walivyo viongozi wetu wote wa Africa ambao hawana msaada wowote! limebaki jembe1 nalo ni Mugabe
Katika vita kati Tanzania na Uganda Libya ikiwa chini ya utawala Gaddafi ilitoa msaada wa kijeshi kwa nchi ya Uganda. Kutokana na msaada huo mamia ya watanzania waliokuwepo kwenye maeneo yalivamiwa na Uganda ( wakati huo ikiwa chini ya utawala wa Idi Amin Dada) walipoteza uhai wao. Hivyo leo hii mtanzania ambae anasikitishwa na kifo cha Gaddafi hana moyo wa kizalendo. Au mnasemaje wanaJF kuhusu mtazamo wangu?
sasa kwa nini tusiichukie na uganda yenyewe kwa kuwa tulishapigana nao? mbona ma white wanachukuwa utajiri wetu mchana kweupe na bado tumewakumbatia na tunapokea misaada yao ya kinafiki?
by mwanakijiji
.........we can not blame nato, the west or accuse the libyan people of being "used" by the western powers. We will be denying what is very clear before own eyes. His time was up and the people of libya ensured that he understands that.so the end of gaddafi is simply and absolutely an end to a despotic tyrant. ....
Katika vita kati Tanzania na Uganda Libya ikiwa chini ya utawala Gaddafi ilitoa msaada wa kijeshi kwa nchi ya Uganda. Kutokana na msaada huo mamia ya watanzania waliokuwepo kwenye maeneo yalivamiwa na Uganda ( wakati huo ikiwa chini ya utawala wa Idi Amin Dada) walipoteza uhai wao. Hivyo leo hii mtanzania ambae anasikitishwa na kifo cha Gaddafi hana moyo wa kizalendo. Au mnasemaje wanaJF kuhusu mtazamo wangu?
tumika baba, tumika, tumikia kafiri upate mradi wako!.......too cheap and shame on you!
Hakuna cha ukafiri wala kutumika hapo, kama wananchi wa LIbya wanasherekea kuuwawa kwa Gaddaffi, sie ni nani kijifanya tuna masikitiko kuliko wao?!
Kama kweli angekua kiongozi bora, basi tungeona wananchi wake wakiwa na majonzi, kujenga misikiti kadhaa kusiwe sababu ya kuleta uislamu humu JF, nenda na reality tunayoiona huko Libya
Ni unafiki tu kujifanya hatuoni ilhali macho tunayo. Hivi kama alikuwa anapendwa kweli mamia kwa maelfu ya watu wake wangefurahia? Sipendi mtu kuuawa kwa namna yoyote ile, lakini kama walibya wenyewe wamemuua na wao wanashangilia, sie wengine tucheke ama tulie tuna sehemu gani kule? Gaddaf anayo mazuri aliyoyafanya, but hiyo haifichi mabaya aliyoyafanya pia. Walibya wameamua na wametenda, mbona sie ya kwetu yanatushinda! Unafiki mkubwa, mnadandia gari kwa mbele mtakufa.