Fuatilia vizuri. Hii nguvu ya umma ya Libya is partly made in the USA, siyo fully home grown. It is highly staged, haina tofauti na elections zetu.
Open your eyes man!!!! Kuna mafuta mengi Libya, Chinese wamechukua mafuta ya Sudan. Sadam alikuwa "dictator" kwa sababu alikuwa na mafuta.
Hivi unajua kwa nini waangalizi wa EU wamesema Uchaguzi wa Uganga haukuwa free and fair lakini walichelewa kutamka hivyo kuhusu Uchaguzi wetu? Hivi unajua kwamba China kwa mara ya kwanza walipeleka election observer kwenye kura ya maoni South Sudan? Chinese? Election Observers?
Mie nilikuwa huko for 2yrs. Msidanganywe na propoganda chafu. Libya wana hali nzuri mara 100 zaidi yetu.
wewe acha huo u nazi wako, ooh kila kitu eti ni USA,
Tunisia, USA, eGYPT USA, kila kitu USA.. mda mwingine mnamlaumu USA kwa bure tu
mfano huko Libya hakuna hata access ya internet wala mawasiliano yeyote kutoka nje, je USA inakuwaje ni mastermind?
wewe huna pointi ya kumsapoti huyo jamaa yako.
Hata alipokuja Uganda akawa anatoa mikomenti ya kijinga jinga tu kama sio kiongozi.
Mara anasema:
Gaddafi sparked off a religious furore when he suggested that the modern day version of the Bible is inaccurate. He said: The Bible we have now is not the one that was revealed to Issa [Jesus] and the Old Testament is not the one that was revealed to Musa [Moses]. Muhammad is mentioned in both (original versions), but the Tora and Bible we have now, there is no mention of him.
He added: It means that it [the Bible] has been forged. The Prophet Muhammad was sent to mankind. Allah wanted mankind to have one religion. The Koran that we have is the only book that was sent by Allah. We believe in the Bible as well as the Tora.
Church officials in Uganda described Gaddafis statements as inflammatory and urged their flock to ignore his sentiments.
well watu watakuwa wameshamchoka ingawa sio wote.ghadaffi ameifanyia makubwa sana Libya, ni tofauti kubwa na Tunisia, Egypt na Africa kwa ujumla. Huyu ameiweka Libya vizuri mno, kubwa hapo ni kukaa madarakani kwa muda mrefu na si hali za ajira, hali ngumu ya maisha, uchumi kudorora.
Hahaa, niko ofisini natafuta ada ya mtoto halafu ole wake mtu aje aniite fisadi!
Bogaloo nikitia mguu mawazo tele, naanza kufikiria mwisho wa mwenzi nawatoaje watanzania wangu! Hawachelewi kunifanyia maandamano na sina mabomu ya kuwatandika nayo!
Mkuu, kwa heshima na taadhima naomba uniruhusu nisikujibu tena. Akili yangu ndogo, haiwezi ku comprehend your logic. Niwie radhi mkuu, tafadhali
natamka kwa uwazi kua hakuna raia wa nchi yoyote ktk bara la africa na baadhi ya nchinyingi za asia na ulaya mashariki ambao wanaweza kufikia ubora wamaisha ya walibya kwakila kitu wakojuu tenasana,mshahara wamlibya ni dola mpk 10000 kwamwezi nyumba unapewabure nagari nahudumazote zajamii nibure,maji umeme vyote nibure,hakunahata mtu 1 raiawalibya mwenyenguvu ambae hanakazi namalipo nimazurisana kuzidi hatanchi zaulaya,wanaonekana wamemchoka kwakua kaamda mrefu ila walibya watajuta akiondoka gadafi nchi haitotawalikatena watakua kama irak,mkataa pema pabaya panamwita,kwahakika nawahurumia walibya watajutasanasanasana kwaujinga wanaoufanya sasa kwakufuatamkumbo,libya kuna wanaijeria,waivory coart,mali,guinea nanchitela za west afrika wanaenda kutafta maisha libya kwakua kunamaslah namalipo mazuri,olewenu walibya mtajuta sanasanasana.ghadaffi ameifanyia makubwa sana Libya, ni tofauti kubwa na Tunisia, Egypt na Africa kwa ujumla. Huyu ameiweka Libya vizuri mno, kubwa hapo ni kukaa madarakani kwa muda mrefu na si hali za ajira, hali ngumu ya maisha, uchumi kudorora.
natamka kwa uwazi kua hakuna raia wa nchi yoyote ktk bara la africa na baadhi ya nchinyingi za asia na ulaya mashariki ambao wanaweza kufikia ubora wamaisha ya walibya kwakila kitu wakojuu tenasana,mshahara wamlibya ni dola mpk 10000 kwamwezi nyumba unapewabure nagari nahudumazote zajamii nibure,maji umeme vyote nibure,hakunahata mtu 1 raiawalibya mwenyenguvu ambae hanakazi namalipo nimazurisana kuzidi hatanchi zaulaya,wanaonekana wamemchoka kwakua kaamda mrefu ila walibya watajuta akiondoka gadafi nchi haitotawalikatena watakua kama irak,mkataa pema pabaya panamwita,kwahakika nawahurumia walibya watajutasanasanasana kwaujinga wanaoufanya sasa kwakufuatamkumbo,libya kuna wanaijeria,waivory coart,mali,guinea nanchitela za west afrika wanaenda kutafta maisha libya kwakua kunamaslah namalipo mazuri,olewenu walibya mtajuta sanasanasana.

mkuu hakuna kitukibaya kama kufanya jambo kwakufata mkumbo,flani kafanya na sisi tufanye,madhara yake nimakubwamno narudiatena walibya watajutasana,nchi yao iliyokua yakupigiamfano haitotawalika nahaitokalika tena,ngoja mtaona namtakumbuka manenoyangu,nanaahidi nitawakumbusha hapahapa jamvini.Sasa wewe unawaongelea wakati wenyewe wameamua? Mbona hapa sielewi? Ina maana wao hawaoni hayo mazuri wameamua kufa kutokana na ujinga au kukosa fadhila? Bado narudia maneno yangu ya awali, I do not care whether he stays of goes, I only care that no one cares JK stays or goes!
huyo mlibya wakuchora mkuu hakuna mlibya hata 1 anaweza kuja kuomba hifazi hapakwetu,sisi wenyewe niwakimbizi ktk nchiyetu,nawala sijahadithiwa ninauhakika ninachokisema,walibwa wako mbele kimaisha zaidya watz mara200,nimesona libya 4years naijua juu chini,hakuna wakunidanganya.Acha kudanganya watu na stori za kusimuliwa, juzi tu hapa mlibya nimempa hifadhi kwangu kachokaaa, namwambia si urudi kwenu naona maisha mazuri pato kwa kichwa liko juu, akasema sijui nisemalo.choka mbaya anasema huko maisha magumu huyo ni mlibya mwenyewe
mmmh.... kwa hati hii ya kwenye keybord,kweli wewe umesoma Libya? au ulisoma from std 1 till std 111? 'I mean primary school.huyo mlibya wakuchora mkuu hakuna mlibya hata 1 anaweza kuja kuomba hifazi hapakwetu,sisi wenyewe niwakimbizi ktk nchiyetu,nawala sijahadithiwa ninauhakika ninachokisema,walibwa wako mbele kimaisha zaidya watz mara200,nimesona libya 4years naijua juu chini,hakuna wakunidanganya.
huyo mlibya wakuchora mkuu hakuna mlibya hata 1 anaweza kuja kuomba hifazi hapakwetu,sisi wenyewe niwakimbizi ktk nchiyetu,nawala sijahadithiwa ninauhakika ninachokisema,walibwa wako mbele kimaisha zaidya watz mara200,nimesona libya 4years naijua juu chini,hakuna wakunidanganya.