Gaddafi anasema Tel Aviv is helping Sudan Rebels | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gaddafi anasema Tel Aviv is helping Sudan Rebels

Discussion in 'International Forum' started by Andrew Nyerere, Feb 26, 2009.

 1. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #1
  Feb 26, 2009
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,206
  Trophy Points: 280
  Daily News imeandika leo kwamba Muamar Gaddafi anasema Israel is helping the rebels who are fighting in Darfur. Gaddafi anasema such rebels groups like JEM have got offices in Tel Aviv.
  Anasema Waisraeli wanachochea vita Sudan. Lakini hasemi kama wanachochea vita Somalia pia.
  Bashir is facing indictment by ICC. I think the ICC will indict him,kwa sababu ya UK,USA na,I think France,ambao wanataka kuona indictment. And let us remember that Barak Obama is a lawyer. Akiongea kuhusu economics,maybe it is just an act. Lakini akiongea kuhusu human rights,hiyo ndiyo taaluma yake.
  Pia huko Darfur watu wameuawa just because they are black.
   
 2. n

  nmiku Member

  #2
  Feb 27, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kwa mawazo yangu kwa kumfuatilia Gaddafi tangu achukue hatamu Libya, yeye kutoa maoni kama hayo si kitu cha ajabu! Ninachoshangaa hawa viongozi wa Afrika wamemchaguaje ashike hatamu AU! Kwanza ni mtu mwenye uchu wa madaraka. No wonder his motion of immediate creation of one government of African countries! This is without thinking of the troubles most of African countries are in now. The conflicts are plenty. The hatred is beyond imagination, leave alone the mistrust and the self centredness abound in African leaders! Kwa hali hiyo unaweza wewe kama kiongozi mwaajibikaji kutoa wazo la namna hiyo? Kwanza kabisa angechukua jukumu la kuhakikisha Africa yote inakuwa na viongozi wanaowajibika kwa wananchi wao na migogoro yote inamalizika na Africa iwe in peace. Baada ya hapo ndiyo aweze kuleta swala la muungano wa AFRICA! Kwa kumalizia niseme tu kuwa Gaddafi ni mchochezi na hana lolote zuri anaweza kufanya kuinusuru Africa! Hayo mawazo kuhusu Sudan inadhihirisha niliyoyaandika hapo juu. Let us share our views and can someone let me know what they do think about my views?
   
Loading...