Gabrieli Jesu, huyu Dogo ndo mrithi wa Ronaldinho pale Brazil

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
4,526
8,791
Wakuu kuna huyu Dogo anawindwa na Barca kwa kifupi dogo ni balaa mno mnaweza tafuta move zake kule Youtube.
Gabriel-Jesus.jpg
 
Achana na huyo choka mbaya, pale barca wachezaji muhimu kama Pogba,De maria,Dybala,suarez wa Villa real..hawa ndiyo tunawahitaji..na si huyo asiejulikana...labda wampeleke yebo yebo ama ndala fc hapo sawa.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Hahahaa mkuu nimeshindwa kuvumilia aisee maana ukimcheki mchezaji mwenyewe mhh basi tu..acha nikae kimya tu.
Mchezaji mwenyewe nini? sasa Barca wangemtafuta? acha ujinga kujifanya unajua wakati hujui
 
Achana na huyo choka mbaya, pale barca wachezaji muhimu kama Pogba,De maria,Dybala,suarez wa Villa real..hawa ndiyo tunawahitaji..na si huyo asiejulikana...labda wampeleke yebo yebo ama ndala fc hapo sawa.
Ndo umeandika nin?
 
Mrithi wa ronaldinho? acha utani ww. hakuna kama gaucho ulimwengu huu na sidhani kama atatokea.
 
jamani mungu basi angeacha gaucho awe tu kijana hataree hapa eto,hapa gaucho wakati huo messi anaangalia kaka zake akiwa bench huku akiwa amevaa jezi no 30 mgongoni uliza sasa jezi namba 10 mgongoni alikuwa anavaa nani!aaah yaani udambwe udambwe tu
 
Mrithi wa ronaldinho? acha utani ww. hakuna kama gaucho ulimwengu huu na sidhani kama atatokea.
mbona chenga za gaucho ni kopi ya chenga za ronaldo de lima,ambazo lima nae alikopi kwa 'wazee' waliotangulia kasoro chenga moja tu,anachofanya gaucho ni kuongeza madoido
 
Back
Top Bottom